Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Salaam,
Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa! Ndio amethibitisha yeye na Magufuli ni wamoja?
Wanakwamba kama unafiki ungekuwa kosa basi Serikali ya Samia ingefungwa maisha bila nafasi ya kukata rufaa!
Aroo, kelele za kimataifa zitabadilisha upepo wa mambo yanavyokwenda nchini?