TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,799
- 8,486
Ucngzn kbsHii nchi haipaswi kutawaliwa na wanasiasa tena bali wanajeshi
Shida ya jeshi letu bado limelala sana
Ucngzn kbsHii nchi haipaswi kutawaliwa na wanasiasa tena bali wanajeshi
Shida ya jeshi letu bado limelala sana
Kila binadamu ana mazuri na mabaya ake ila huyu kazidiYamekua hayo leo.....ndo maana alisema mtanikumbuka
Inasikitisha sana mkuu 😭Nenda kaburini kwake,kachomoe mfupa wa ugoko ujichokoe, maana umekazana!!
umeongea ukweliHuyo unaesema amepikwa alimpinga JPM na kutaka kuachia ngaz ya umakamu. JPM hakusita, akamwambia achia.
Shida inakuja JPM pamoja na mapungufu yake, tuliona juhudi zake. Sasa huyu, comperatively na projects zake, hamna kitu. Rasilimali zinaenda ila hatuoni impact ya hizo rasilimali zinazoenda.
JPM alibanawatu ila matokea ya kodi na sio rasilimali, tuliyaona. Huyu wa sasa kodi na rasilimali impact yake sio relatively comparable.
Hiyo online Tv ni Manara Tv ya nchi gani?
AiseeViongoz wengi ni madhalimu..ila bora awe dikteta na MAENDELEO kwa wengi alete...si tuliwaambia best president ever ni JPM mkamuona mbaya haya kuleni chuma hiko
Huyo Mtangazaji naye ni balaa kwa mbwembwe et from Hospital Vist to High Treason Charges😅😅😅Media House ya kiTanzania kuanzia wahariri hadi wajanyaga vumbi waandishi wao hawawezi kuandaa clip iliyoshiba matendo ya kweli ya viongozi wa Tanzania iwe ya wale wapigania haki au wale wasiotenda haki.
Kina Balile, Mayalla, Ayo, Wasafi, Mwananchi digital wote ni kusifu, kusujudu na mapambio kwa viongozi.
Hata utumie maneno mazito namna gani kumfananisha Samia ma wauaji akina Magufuli, wewe mwenyewe unajuwa siyo muuajiSalaam,
Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa! Ndio amethibitisha yeye na Magufuli ni wamoja?
Wanakwamba kama unafiki ungekuwa kosa basi Serikali ya Samia ingefungwa maisha bila nafasi ya kukata rufaa!
Aroo, kelele za kimataifa zitabadilisha upepo wa mambo yanavyokwenda nchini?
Hebu usijizime data wewe bwege. Mwenye ubinadamu angetuma akina Makonda wamshambulie Tundu bungeni? Au kumuua Ben Saanane kwa bastola yake mwenyewe?? Mwogopeni Mungu, JPM alikuwa shetaniALikuwa na ubinadamu kidogo asee tofauti na huyu mzanzibar
Dada angu hasira za nini? kuwa mpoleHebu usijizime data wewe bwege. Mwenye ubinadamu angetuma akina Makonda wamshambulie Tundu bungeni? Au kumuua Ben Saanane kwa bastola yake mwenyewe?? Mwogopeni Mungu, JPM alikuwa shetani
Dada angu hasira za nini? kuwa mpole, subiri Bwana wako yuko na wengineDada angu hasira za nini? kuwa mpole
UWT unachekesha haswaDada angu hasira za nini? kuwa mpole, subiri Bwana wako yuko na wengine
Salaam,