Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Kama nyie UWT maana wewe umekosa mpaka hela ya kula unalala kwa shemeji akoNadhani unaona dawa inavyowaingia
makosa mawili hayatengezi kilichokuwa sawa Mkuu, Magufuli ana sehemu alipofanya vizuri ila pia aliharibu sehemu kubwaViongoz wengi ni madhalimu..ila bora awe dikteta na MAENDELEO kwa wengi alete...si tuliwaambia best president ever ni JPM mkamuona mbaya haya kuleni chuma hiko
Kwani hao ni wakwetu Mkuu? Kwa context yetu unamuelezeaje Samia? Mwanademokrasia anayeupiga mwingi?😝😝Rais wenyu dikteta Ila Trump, Putin, zelensky, Netanyahu, Jin ping .
Wote ni Viongozi Ila wa kwenu ni dikteta really ???
Kabisa MkuuUdikteta wao haumfanyi Samia asiwe dikteta
Wote madikteta
Wewe ni msaliti kwa Nchi yako. Inashangaza unawaona Viongozi wa Ulaya na Marekani ambao wameua maelfu ya watu Duniani eti wasafi.Salaam,
Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa! Ndio amethibitisha yeye na Magufuli ni wamoja?
Wanakwamba kama unafiki ungekuwa kosa basi Serikali ya Samia ingefungwa maisha bila nafasi ya kukata rufaa!
Aroo, kelele za kimataifa zitabadilisha upepo wa mambo yanavyokwenda nchini?
Yamekua hayo leo.....ndo maana alisema mtanikumbukaLakini hakuwa katili kama huyu bibi
Mkuu, achana na watanzania, wengi ni viumbe wa ajabu, wajinga na wasiojua kipi Kilicho bora kwao..Viongoz wengi ni madhalimu..ila bora awe dikteta na MAENDELEO kwa wengi alete...si tuliwaambia best president ever ni JPM mkamuona mbaya haya kuleni chuma hiko
Usitutajie kabisa hilo shetani lenu la Chato tusije tukaanza kulinanga hapaViongoz wengi ni madhalimu..ila bora awe dikteta na MAENDELEO kwa wengi alete...si tuliwaambia best president ever ni JPM mkamuona mbaya haya kuleni chuma hiko
Hapo sawa. Nilidhani udikteta ni wa Samia tuUdikteta wao haumfanyi Samia asiwe dikteta
Wote madikteta
Umhimu wa mtu huonekana tu akishaondoka👿Viongoz wengi ni madhalimu..ila bora awe dikteta na MAENDELEO kwa wengi alete...si tuliwaambia best president ever ni JPM mkamuona mbaya haya kuleni chuma hiko
Huyo unaesema amepikwa alimpinga JPM na kutaka kuachia ngaz ya umakamu. JPM hakusita, akamwambia achia.Alisingiziwa wapi banaaa, Samia kuyaendeleza si ndio anazidi kuthibitisha maovu yake? Amempika vizuri mwanafunzi wake, hatoki nje ya desa, tena amekuwa fundi zaidi
💯📌kinacho waponza chadema bado ni woga
No reform no electionRais wenyu dikteta Ila Trump, Putin, zelensky, Netanyahu, Jin ping .
Wote ni Viongozi Ila wa kwenu ni dikteta really ???