PreGE2025 Rais Samia azidi kutrend kimataifa kutokana na suala la Lissu, afananishwa na kina Museveni na Kagame

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
umeongea ukweli
 
Hiyo online Tv ni Manara Tv ya nchi gani?

Media House ya kiTanzania kuanzia wahariri hadi wajanyaga vumbi waandishi wao hawawezi kuandaa clip iliyoshiba matendo ya kweli ya viongozi wa Tanzania iwe ya wale wapigania haki au wale wasiotenda haki.

Kina Balile, Mayalla, Ayo, Wasafi, Mwananchi digital wote ni kusifu, kusujudu na mapambio kwa viongozi.
 
Huyo Mtangazaji naye ni balaa kwa mbwembwe et from Hospital Vist to High Treason Charges😅😅😅
 
Hata utumie maneno mazito namna gani kumfananisha Samia ma wauaji akina Magufuli, wewe mwenyewe unajuwa siyo muuaji

Samia ni mpole, muungwana, mpenda maendeleo. Tatizo lipo kwa Mwenyekiti wenu Tundu ambaye anaropoka ropoka tu na kutaka kuanzisha uasi wa kuzuia uchaguzi.

Hakuna Serikali duniani itakuchekea kwa kutaka kuanzisha uasi. Lazima uteremkiwe tu na nguvu ya dola.

Ziache Mahakama zifanye kazi yake kwani Tundu tuko mikono salama.

Mitano tena kwa Samia
 
Hebu usijizime data wewe bwege. Mwenye ubinadamu angetuma akina Makonda wamshambulie Tundu bungeni? Au kumuua Ben Saanane kwa bastola yake mwenyewe?? Mwogopeni Mungu, JPM alikuwa shetani
Dada angu hasira za nini? kuwa mpole
 
Hii nchi kwa sasa haina Rais. Iko kwenye auto-pilot mode
 

USSR
 
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…