Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

MMh Akili zimeanza kukufyatuka tena mkuu, Ama kweli upumbavu haufichiki
 
Bora umemjibu huyo mjinga maana anashindwa kuelewa Kati ya soccer na siasa
 
'…Wahafidhina wa Ujamaa walinifunga Goli 1987 kwa kumnyima kura Cleopa David Msuya Waziri wangu muhimu lakin nami nilihakikisha Pamoja na kunifunga goli hawashindi mechi …na hawakushinda mechi'-Ally Hassan Mwinyi kwny kitabu chake cha Mzee Rukhsa!


Mzee Rukhsa ni Yanga Lia lia naona katumia mbinu ya kimedani kutoharibu tukio lake muhimu kwa Utopolo kufungwa kwa kipigo cha Mbwa mwizi,
 
Hivi unatumia akili zako vizuri tangu covid 19 hadi mechi ya simba na yanga watu wengine sijui mkoje.
 
Bi Mkubwa should do the right thing --- kuapolojaiz na kujiuzulu nafasi hiyo. Wananchi wamehujumiwa na mkuu wa nchi.
 
Wangesema mapema mechi itachezwa saa moja au hata saa mbili wala isingetokea shida
 
We bwashee vp umeamka nayo nn mbege????kwan ratiba haikujulikana kabla????
 


Hivi mstaafu haoni hata aibu kuitwa Mzee Ruksa!??? His book kimechangia tu deforrestation kwenye misitu ya Iringa kwa ajili ya karatasi za hiko kitabu.
 
Wewe ni mbwiga mpira ni wa FIFA na TFF siyo wa serikali.

Kama TFF inajipendeza serikalini hilo ni swala lao, anaposimama Rais kuongea vyombo vyote huelekezwa huko siyo kwenye ndondo.

TFF hawajaambiwa na yoyote kutoka serikalini kwamba wasogeze muda wa mechi kuanza.

Hata boss wako Halima Mdee ambaye ni Yanga damu analielewa hili!
 
Rukhsa yake imefungua mengi ikiwemo hili swali la kebehi ulilouliza

Enzi hizo kumiliki fridge la kutunzia Nyanya na kupata maji baridi ilikuwa uhujumu Uchumi …sasa hivi ukimsimulia kijana anaona kama story za kutungwa
Hivi mstaafu haoni hata aibu kuitwa Mzee Ruksa!??? His book kimechangia tu deforrestation kwenye misitu ya Iringa kwa ajili ya karatasi za hiko kitabu.
 
Rukhsa yake imefungua mengi ikiwemo hili swali la kebehi ulilouliza

Enzi hizo kumiliki fridge la kutunzia Nyanya na kupata maji baridi ilikuwa uhujumu Uchumi …sasa hivi ukimsimulia kijana anaona kama story za kutungwa

Ninakusoma sana. Ila ni kosa kubwa mno unapovuta jahazi kuliokoa, unatoa pendulum extreme moja hadi extreme nyingine. Huo mfumo ndio huuu wa sasa wa Bi Mkubwa. Clueless & ^knowledgeless^ leaders
 
Utawala usioheshimu wananchi ni shida kubwa.
 
Kwani lile tukio ni la kitaifa???? Au sherehe tu ya kawaida kama harusi
 
TFF hawajaambiwa na yoyote kutoka serikalini kwamba wasogeze muda wa mechi kuanza
Hii barua ya TFF ya kuahirisha mechi inasema kuwa wamepewa maelekezo kutoka wapi?Ninapokuambia kuwa wewe ni mpumbavu jua kuwa sikuonei!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…