MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
MMh Akili zimeanza kukufyatuka tena mkuu, Ama kweli upumbavu haufichiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umemjibu huyo mjinga maana anashindwa kuelewa Kati ya soccer na siasaNimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa kimya ila husikii!Suala hapa siyo kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na tukio la mwinyi kurushwa live.
Suala hapa ni serikali kuvunja kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kama TFF walivyodai kwenye barua yao kuwa wameamriwa na wizara kuahirisha mechi kitu ambacho ni kinyume na kanuni.Kitu hiki kinaweza kutugharimu kama Taifa katika masuala ya michezo.Umeelewa sasa?
Hivi unatumia akili zako vizuri tangu covid 19 hadi mechi ya simba na yanga watu wengine sijui mkoje.Yaani runinga ziache kurusha matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Rais wa nchi kisa eti kuna mechi ya Simba na Yanga ambayo wadhamini wameshalipia matangazo.
TFF mnapaswa kuangalia ratiba za matukio muhimu ya nchi kwanza wiki moja kabla mechi hazijachezwa.
Hizo haki za television ni zenu lakini linapokuja swala muhimu kwa taifa Simba na Yanga si lolote wala chochote kwa sababu siyo kila mtanzania anafagilia mambo ya soka na kamari.
Kazi Iendelee!
Yaani runinga ziache kurusha matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Rais wa nchi kisa eti kuna mechi ya Simba na Yanga ambayo wadhamini wameshalipia matangazo.
TFF mnapaswa kuangalia ratiba za matukio muhimu ya nchi kwanza wiki moja kabla mechi hazijachezwa.
Hizo haki za television ni zenu lakini linapokuja swala muhimu kwa taifa Simba na Yanga si lolote wala chochote kwa sababu siyo kila mtanzania anafagilia mambo ya soka na kamari.
Kazi Iendelee!
'…Wahafidhina wa Ujamaa walinifunga Goli 1987 kwa kumnyima kura Cleopa David Msuya Waziri wangu muhimu lakin nami nilihakikisha Pamoja na kunifunga goli hawashindi mechi …na hawakushinda mechi'-Ally Hassan Mwinyi kwny kitabu chake cha Mzee Rukhsa!
Mzee Rukhsa ni Yanga Lia lia naona katumia mbinu ya kimedani kutoharibu tukio lake muhimu kwa Utopolo kufungwa kwa kipigo cha Mbwa mwizi,
Wangesema mapema mechi itachezwa saa moja au hata saa mbili wala isingetokea shida
Wewe ni mbwiga mpira ni wa FIFA na TFF siyo wa serikali.Nimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa kimya ila husikii!Suala hapa siyo kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na tukio la mwinyi kurushwa live.
Suala hapa ni serikali kuvunja kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kama TFF walivyodai kwenye barua yao kuwa wameamriwa na wizara kuahirisha mechi kitu ambacho ni kinyume na kanuni.Kitu hiki kinaweza kutugharimu kama Taifa katika masuala ya michezo.Umeelewa sasa?
Hivi mstaafu haoni hata aibu kuitwa Mzee Ruksa!??? His book kimechangia tu deforrestation kwenye misitu ya Iringa kwa ajili ya karatasi za hiko kitabu.
Nimekuelewa sana bwashee!They knew usingetokea umati ule uwanjani, na mapato yangeshuka. So, logically, waliamua kuiba pesa za raia kwanza ndipo wafanye Breaking News!!!
Rukhsa yake imefungua mengi ikiwemo hili swali la kebehi ulilouliza
Enzi hizo kumiliki fridge la kutunzia Nyanya na kupata maji baridi ilikuwa uhujumu Uchumi …sasa hivi ukimsimulia kijana anaona kama story za kutungwa
Sasa kwanini TFF walibadilisha kwa ghafla mno?We bwashee vp umeamka nayo nn mbege????kwan ratiba haikujulikana kabla????
Sasa kwanini TFF walibadilisha kwa ghafla mno?
Utawala usioheshimu wananchi ni shida kubwa.Yaani runinga ziache kurusha matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Rais wa nchi kisa eti kuna mechi ya Simba na Yanga ambayo wadhamini wameshalipia matangazo.
TFF mnapaswa kuangalia ratiba za matukio muhimu ya nchi kwanza wiki moja kabla mechi hazijachezwa.
Hizo haki za television ni zenu lakini linapokuja swala muhimu kwa taifa Simba na Yanga si lolote wala chochote kwa sababu siyo kila mtanzania anafagilia mambo ya soka na kamari.
Kazi Iendelee!
Ndio muwawajibishe wasomali sasa!Ilikuwa nguvu ya chama chakavu,ukibsha tu unatekwa
Kwani lile tukio ni la kitaifa???? Au sherehe tu ya kawaida kama harusiYaani runinga ziache kurusha matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Rais wa nchi kisa eti kuna mechi ya Simba na Yanga ambayo wadhamini wameshalipia matangazo.
TFF mnapaswa kuangalia ratiba za matukio muhimu ya nchi kwanza wiki moja kabla mechi hazijachezwa.
Hizo haki za television ni zenu lakini linapokuja swala muhimu kwa taifa Simba na Yanga si lolote wala chochote kwa sababu siyo kila mtanzania anafagilia mambo ya soka na kamari.
Kazi Iendelee!
Hii barua ya TFF ya kuahirisha mechi inasema kuwa wamepewa maelekezo kutoka wapi?Ninapokuambia kuwa wewe ni mpumbavu jua kuwa sikuonei!TFF hawajaambiwa na yoyote kutoka serikalini kwamba wasogeze muda wa mechi kuanza