Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023

Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe 02 Disemba, 2023.


View: https://www.youtube.com/live/QhCQ0BcQr6Y?si=YVfDvsdluuMGYwOv
IMG_9268.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Desemba, 2023.

IMG_9269.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Mkutano wa G77 kando ya mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

IMG_9270.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), 02 Desemba, 2023.
 
Mimi nishati ninayoielewa ni biogas tu
 
Daaah, yaani huku nauli zimepanda, umeme unakatika barabara mbovu!!
 
Back
Top Bottom