Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

Pikipiki boxer? Aiseee...
Badala ya kuwanunulia SanLG au Fekon ndio pikipiki za kazi, au ni maafisa ugani wa Daslam? [emoji23]
 
Pikipiki boxer? Aiseee...
Badala ya kuwanunulia SanLG au Fekon ndio pikipiki za kazi, au ni maafisa ugani wa Daslam? [emoji23]
Huo mchongo Muhamad kawauzia boxer waende vijijini!
Vijijini KingLion, SanLG, Fekon, Haoujue..ngoja tuone muda ni mwalimu!
 
Na mimi ni mkulima na mfugaji pia. Ni mkulima wa korosho (Tandahimba), mahindi (Songea) na alizeti (Dodoma) na pia nafuga ng'ombe. Ndio maana nilienda Rufiji kuangalia fursa za mpunga pia. Siongei kwa whatsapp. Fuatilia vizuri ujue mbegu ya alizeti iliuzwa kiasi gani kwa kilo mwaka jana. Sisi wakulima wa alizeti tumefaidika na hilo.
 
KATIBA MPYA itanipa mimi na watanzania wenzangu uwezo wa ku express expertise yangu na wale waliowengi preferences zao kuwa attended na isiwe kwamba kuna mtu anatufikiria kwa niaba yetu yale ambayo anadhani kuwa ndiyo kumbe sivyo.
 
Wapi umeona Jambo hilo lipo Duniani. Katiba ina kazi mbili tu. Kulinda na kutunza haki na wajibu wa kila mmoja. Sasa kama hamtaki kiwajibika bila shaka hamtapata haki mzitakazo
 
Wewe ndiye mkulima stadi, uniambie na hiyo punguzo ilikuwa kiasi gani?!
Mkulima unayeenda likizo!
 
Tatizo walengwa ambao ni wengi hawafikiwi hata mmoja. Fedha zinaishia kwa wajanja tu.
 
Kilimo akipimwi kwa ukubwa wa ardhi bali kitu kilicho kwenye ardhi kwa mpangilio mzuri kuleta mavuno bora na yenye tija. Ardhi mfano ya Kagera unaweza ukapangilia mazao matau ukafauli. Unaweza ukaweka migomba aina moja ukaweka vanila ukaweka na mikahawa vyote kwenye ekali tano na ukavuna pesa ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…