Rais Samia Azindua Upanuzi Mkubwa Muhimbili. Utagharimu takribani Sh. Trilioni 1.2

Rais Samia Azindua Upanuzi Mkubwa Muhimbili. Utagharimu takribani Sh. Trilioni 1.2

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
π™π˜Όπ™„π™Ž π™Žπ˜Όπ™ˆπ™„π˜Ό π˜Όπ˜Όπ™‰π™•π˜Ό 𝙐𝙅𝙀𝙉𝙕𝙄 π™ˆπ™†π™π˜½π™’π˜Ό π™ƒπ™Šπ™Žπ™‹π™„π™π˜Όπ™‡π™„ π™ˆπ™π™ƒπ™„π™ˆπ˜½π™„π™‡π™„.

SAMIA AANZA UJENZI MKUBWA HOSPITALI MUHIMBILI
Context: Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Hospitali ya Muhimbili unaolenga kuboresha huduma za afya nchini.
20260511_080220.jpg
 
π™π˜Όπ™„π™Ž π™Žπ˜Όπ™ˆπ™„π˜Ό π˜Όπ˜Όπ™‰π™•π˜Ό 𝙐𝙅𝙀𝙉𝙕𝙄 π™ˆπ™†π™π˜½π™’π˜Ό π™ƒπ™Šπ™Žπ™‹π™„π™π˜Όπ™‡π™„ π™ˆπ™π™ƒπ™„π™ˆπ˜½π™„π™‡π™„.

SAMIA AANZA UJENZI MKUBWA HOSPITALI MUHIMBILI
Context: Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Hospitali ya Muhimbili unaolenga kuboresha huduma za afya nchini.View attachment 3586923
Mchengerwa kashafanikisha MKOPO wa zaidi ya Bilioni 500 Kutoka Korea , Watanganyika msiposhtuka hii familia itamaliza uchumi wa hii nchi. Mchengerwa na Naibu Katibu Mkuu, AFYA Bwana Tayari ndio watengeneza huu mchongo. Ni akili za kijinga kubomoa Muhimbili na kutumia Trilioni plus kujenga upya badala ya kujenga hospital za Rufaa kila Mkoa ziwe na vifaa na madkatari badala ya kupeleka watu kusafiri kuja Dar es Salaam kutibiwa. Hii Nchi miaka hii 4 ya huyu mama itatoa damu
 
Back
Top Bottom