Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Oooh magu alijenga bwawa la umeme na sgr,kikwete alijenga sana barabara, Nyerere alijenga viwandaMkuu Samia ametoa wapi hizo hela ? Na jee itabaki kuwa mali ya umma au atakua mhisani ?
Mchengerwa kashafanikisha MKOPO wa zaidi ya Bilioni 500 Kutoka Korea , Watanganyika msiposhtuka hii familia itamaliza uchumi wa hii nchi. Mchengerwa na Naibu Katibu Mkuu, AFYA Bwana Tayari ndio watengeneza huu mchongo. Ni akili za kijinga kubomoa Muhimbili na kutumia Trilioni plus kujenga upya badala ya kujenga hospital za Rufaa kila Mkoa ziwe na vifaa na madkatari badala ya kupeleka watu kusafiri kuja Dar es Salaam kutibiwa. Hii Nchi miaka hii 4 ya huyu mama itatoa damuππΌππ ππΌπππΌ πΌπΌπππΌ ππ ππππ ππππ½ππΌ πππππππΌππ ππππππ½πππ.
SAMIA AANZA UJENZI MKUBWA HOSPITALI MUHIMBILI
Context: Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Hospitali ya Muhimbili unaolenga kuboresha huduma za afya nchini.View attachment 3586923