Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

Naunga Juhudi za Samia Leo hata kesho,
Mimi ni nani nisiome haya,

Watu hawatekwi tena,
Maiti hazikutwi tena Baharini,
Wanasiasa wako huru wanafurahi na familia zao,

Wakulima wanashangilia bei ya mazao yao,

Bodaboda faini ten tu,

Umeme elfu 27 na nguzo hulipi,

Ivi mnatakaje wengine?
 
Kanda ya ziwa pamba imenunuliwa kwa tsh. 1750, toka tsh. 900 ya mwaka jana. Bahati mbaya wengi hawakulima mwaka jana baada ya kuchoshwa na Bei,mkopo na mvua kubwa zilizopitiliza na ugonjwa wa pamba kuzeeka ( kuwa nyekundu) kabla ya wakati.


Mwaka jana bei ilikiwa 800 mkuu,Jamaa yangu ni wakala
 



Safi sana,tuendelee kumpigania Mama,
 
Bwege mtozeni, naona upo kwa mission maalumu,kazana [emoji41]
 


kosa langu nini? Acha kulitumia jina la Mungu vibaya
 
Na kweli "kazi ieendelee". Wakati wa "hapa kazitu#", nchi jirani na kwingeneko walikuwa "lockdown". Kwao huko sasa ni njaa na mahitaji makubwa ya mazao ya kilimo. Kwetu sisi matunda ya kutokuweka "lockdown" sasa ndio yanaonekana. Ukichanganya na "diplomasia ya uchumi" hakuna shaka maendeleo kwa kasi
 
Barua ya wazi kwa Mama Samia,



Mama Shikamoo,

Mama Mimi nakuandikia hii barua kutaka kukupongeza tu sio kuomba hela,

Hongera kwa haya yafuatayo:

1. Kuendeleza miradi yote ya Rais Magufuli,

2. Kupandisha bei ya mazao ya biashara,

3.Kupandisha wafanyakazi madaraja,

4. Kuanzisha miradi mipya

5. Kujenga vituo bus Afya 220

Kesho nitaendelea pokea kwanza hii tano,
 
Wewe si mkulima, vinginevyo usingetamka maneno hayo. Mfuko unajaa, tofauti unaiona bila kupepesa macho eti mpaka nipate ushuhuda nchi nyingine.... Loooooooo balaaaaaa,.
 
Tatizo na ukilema wa nchi hii ni kumtukuza RAIS . Hata pale mtu anapotimiza wajibu wake . Na hata mipango iliyopitishwa na Bunge inapotekelezwa. Watu wamekalia kutukuza cheo cha u Rais !!


Katiba yetu imemuumba mungumutu. Na kila moja lazima asifu na kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…