Rais Samia azungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia

Rais Samia azungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2026.

Bw. Belete ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Miradi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alifika Ikulu kwa ajili ya kumuaga Mhe. Rais Dkt. Samia mara baada ya kuhudumu katika nafasi yake ya awali kwa kipindi cha miaka minne. Pia aliambatana na mrithi wake Mkurugenzi Mkazi wa Benki hiyo anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe Bw. Firas Raad.

Screenshot 2026-05-18 191650.png
Screenshot 2026-05-18 191742.png
 
📍MAMA KAZINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2026.

Bw. Belete ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Miradi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alifika Ikulu kwa ajili ya kumuaga Mhe. Rais Dkt. Samia mara baada ya kuhudumu katika nafasi yake ya awali kwa kipindi cha miaka minne.

Pia aliambatana na mrithi wake Mkurugenzi Mkazi wa Benki hiyo anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe Bw. Firas Raad.
.
.
.
.
@ikulu_mawasiliano
@samia_suluhu_hassan


#kaziNaMaendeleo
#mamakazini
 
Back
Top Bottom