Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 403
- 539
Hello unemployed teachers!
Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau .
Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale katika shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa Dar, shule inayofunza wanafunzi wa elimu maalumu pia .
What a surprise?
Baada ya maongezi alipewa mtangazaji wa kike somebody Mwasha wa TBC1 Alimpa pongezi ya siku ya kuzaliwa kisha akamuuliza " baada ya kujenga madarasa 15000 je, nini kinafuata katika sector ya elimu?"
Jibu: Aaaaah bado tuna changamoto ya madarasa hasa shule za msingi nadhani tukimaliza miundombinu hii tuta ajili walimu"( shangwe kutoka kwa wanafunzi) akaendelea" tuta ajili walimu 7000 kwanza"
Kwa hiyo ndugu walimu msio na ajira, ajira zipo njiani msife moyo kazi inaendelea
Mama akitoa hizi kazi kwa walimu itakuwa ni jumla ya ajira za walimu wapya 13,468 ndani ya miezi kumi na moja na siku kadhaa mwaka kabisa.
Hongera saaana Mama hakika unaupiga mwingi
Angalizo: Wasaidizi wa Mama shughurikieni haraka basi wish ya Rais ni amri.
Sikufanikiwa kurekodi ila kama kuna mtu ana sauti au video aweke
Ahsanteni!