Si alishakufa huyo? Anatoaje sauti? Akamatwe mara moja kumbe bado anazungumza kisiri siri sisi hatujuiRais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
[emoji38][emoji38][emoji38]Wanataka waambiwe anasikia ya Mbowe.
Unataka kumwaga tusi gani?He he he heee ngoja nicheke Kwanza Nita coment baadae. Nikishaongea na mods.
Sauti ipi hio ya kufanya ziara wakati mwenzao anaumwa na hadi kufa na kusema yupo anapiga kazi au. Sijawahi kuona mwenzenu anaumwa nyie mnazurura na kula posho Kuna watu wakatili sana sanaRais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
Wanataka Samia asikie sauti ya MboweKuna kale ka kikundi ka wasiojielewa, wao wana maoni gani katika hili!!
KabisaVizuri
Isikie tu mama ila ikikuambia kunaniliu uhai kataa
Uncle kwa unafiq hamna anayekufikia humu jukwaani.Mungu ampe wepesi
Tuliwapigia kura wote wawili kwa sababu Tunawaamini.
Mtanikumbuka!
Hakunaga Mwanasiasa asiye mnafiki kama unabisha muulize Dr SlaaUncle kwa unafiq hamna anayekufikia humu jukwaani.
Hahahah kwahio anaweweseka? [emoji3]
Bado bado acha waibe hela zote za bajeti
Au nimesahau, nakumbuka barabara ilishazinduliwa!
Kwani siyo kweli kuna miradi mikubwa ya mtangulizi wake anaiendeleza kwa kasi? Jibu ipo. Pia, Mhe. Rais alipoapa alitueleza raia wake; hakuna mradi ulioanzishwa na mtangulizi wake utakwama. Sasa hii ya kutafuta kura inatoka wapi? Tatu, hayo majina ya kikabila achana nayo si mazuri kwani hayajengi taifa. Binafsi nachukizwa na hiyo kitu mnaita 'Sukuma nini sijui🙏🙏🙏Mama mjanja sana, anatafuta kura za sukumagang...