Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.

Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
Si alishakufa huyo? Anatoaje sauti? Akamatwe mara moja kumbe bado anazungumza kisiri siri sisi hatujui
 
Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.

Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
Sauti ipi hio ya kufanya ziara wakati mwenzao anaumwa na hadi kufa na kusema yupo anapiga kazi au. Sijawahi kuona mwenzenu anaumwa nyie mnazurura na kula posho Kuna watu wakatili sana sana
 
Sio huyu aliyesema akiwa ughaibuni kwamba JPM alikuwa anamu-undermine ?!!!!

By the way so called miradi ya mtu na sio ya Watanzania ndio inafanya watu wasione hivi vitu ni mali yao..., na kama ni mali ya watanzania kwanini sauti ikutese; kwanini usifanye sababu ndicho kilichokuweka hapo / kazi yako...
 
Mama mjanja sana, anatafuta kura za sukumagang...
Kwani siyo kweli kuna miradi mikubwa ya mtangulizi wake anaiendeleza kwa kasi? Jibu ipo. Pia, Mhe. Rais alipoapa alitueleza raia wake; hakuna mradi ulioanzishwa na mtangulizi wake utakwama. Sasa hii ya kutafuta kura inatoka wapi? Tatu, hayo majina ya kikabila achana nayo si mazuri kwani hayajengi taifa. Binafsi nachukizwa na hiyo kitu mnaita 'Sukuma nini sijui🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom