Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

Si utwambie nani kapigwau risasi , au kapotea hivi sasa ?
Kuna vijana 5 hawajulikani wako wapi tangu December 2021.

Kuna mtu alikufa pale Mtwara tangu January 2022.

Watu wanauwana kila siku.

Tofauti ni kwamba? Sasa hivi wanasiasa wanalamba na hutokaa ukisikia wakikutetea hata ukifa. Enzi zile hawakupata nasafi ya kula pesa.
 
Kuna vijana watano hilo ni gazeti au redio ipi imetangaza. Kuna thread yoyote JF imeandika ? Hao vijana ni wa Chama gani ? Kwani Wakati wa Magufuli Hao waliokufa walitetewa Na Nani ? Ili wafufuke? Azory gwanda kwani kapotezwa ili asipate nafasi ya kula? Ben Saanane Pia ? Tundu Lissu kapigwa risasi ili asipate nafasi ya kula?
Na wale waliookotwa kwenye mifuko ya plastiki Coco beach nao wamenyimwa nafasi ya kula??
 
Hapo ulisoma vizuri ? Hiyo ni taarifa Na Hao watu hawana majina ? Ni wa Chama gani ?
 
Badala ya kusikitika unasuliza chama.

Wanachama tu ndio unataka wewe ? Kila mtu anasitahili kuishi.
 
Aliua majambazi , waongo na wezi wa mali ya umma

Wale waliotaka kumpigia kura ya hapana akawauwa mbona umesahau, Na yule aliyemweka uchi Na PhD yake ya uongo naye akampoteza ,mbona ulimsahau?
 
Ndio yeye alikuwa mkuu wa nchi! Utampingaje mkuu wa nchi!, tatizo watu walizoea kuwaonea watu wa hali ya chini, yale ya HUJUI MIMI NI NANI ALIYAFUKIA KABISA!
Mliteseka sana nyie akina MIMI NANI!
 
Kwani nchi alizaliwa Nayo ni Mali yake? Lazima afuate Vile sheria Za Nchi zinavyosema asijichukulie madaraka kinyume cha sheria. By THE way alivyotaka ndivyo alivyoenda , wacha akaongoze majini yenzake kuzimu.
Nchi Na watu hakuumba yeye.
 
Nyie kama mlizifuata sheria mbona mliwanyanyasa na kuwapora maskini mali zao? Nawewe moto unakusubiria, utakwepea wapi?
 
Aliona raha kuwabana pumbu wenzake , Siku ilipofika vijana wa kazi wakamweka sawa ,walimbana kisawasawa , mwisho ikabaki kutembezwa mitaani kwenye sanduku Kama bidhaa
 
Mkuu Dodoma haina ulazima wa kujenga Capital City kwa sasa.Dodoma inahitaji Maji safi,barabara, ustawishaji wa miti mirefu,kilimo cha umwagiliaji,elimu yenye tija na uongozi bora.

Pia kuwawezesha wananchi kujitegemea katika maeneo hayo,kwa kuwafunza na kuwapa mikopo nafuu waendeshe maisha yao.

Kinachofanyika ni utumiaji mbaya wa vijisenti vya mikopo.Wezesha wananchi huko kwenye msingi wa maendeleo nao watawezesha ujenzi mkubwa.
miji yote mizuri imejengwa na wafanyabiashara wakihindi na waarabu .Sisi miji yetu ni kama Mtoni kwa azizi ally, vingunguti, keko akida ,buguruni na msasani ya mmakonde. tumeshindwa hata kuweka shule za secondari na maktaba maeneo hayo! mtu anakaa vingunguti shule asome tambaza au shaaban robert, hatuoni hapo bado tunabudi stepu?
Amin Amin nawaambieni kuja jenga Dodoma lije kuwa jiji la kuvutia kama mfuko wa yohana{johanesburg} au Cairo pana hitaji adhabu ya kifo kwa wwahujumu uchumi. kwa kadili utakapo peleka pesa nyingi katika miradi ndipo na maofisa wa serikali nao wanalipana posho za kiajabu ajabu,safari imprest,vikao vya tender, na mishahala lukuki. ndio maana utakuta JPM alikuwa anafuatilia mpaka machinjio mapya ya vingunguti yanavyoendelea ili awatishe wahujumu uchumi.
 
Nyie kama mlizifuata sheria mbona mliwanyanyasa na kuwapora maskini mali zao? Nawewe moto unakusubiria, utakwepea wapi?

Kwani kazi ya mahakama ni nini ? Si angalizivunjilia mbali ikabaki yeye ndiye hakimu wa mahakama zote, Kwenda zake kapata saizi yake
 
miji yote mizuri imejengwa na wafanyabiashara wakihindi na waarabu .Sisi miji yetu ni kama Mtoni kwa azizi ally, vingunguti, keko akida ,buguruni na msasani ya mmakonde. tumeshindwa hata kuweka shule za secondari na maktaba maeneo hayo! mtu anakaa vingunguti shule asome tambaza au shaaban robert, hatuoni hapo bado tunabudi stepu?
Amin Amin nawaambieni kuja jenga Dodoma lije kuwa jiji la kuvutia kama mfuko wa yohana{johanesburg} au Cairo pana hitaji adhabu ya kifo kwa wwahujumu uchumi. kwa kadili utakapo peleka pesa nyingi katika miradi ndipo na maofisa wa serikali nao wanalipana posho za kiajabu ajabu,safari imprest,vikao vya tender, na mishahala lukuki. ndio maana utakuta JPM alikuwa anafuatilia mpaka machinjio mapya ya vingunguti yanavyoendelea ili awatishe wahujumu uchumi.

Mbona hakujifuatilia alipompa tenda Bwana shemegi ya kujenga uwanja wa ndege wa CHato?

La maana aliwajengea wanga wa Chato uwanja badala ya kurushia nyungo zao vichakani
 
Kwani kazi ya mahakama ni nini ? Si angalizivunjilia mbali ikabaki yeye ndiye hakimu wa mahakama zote, Kwenda zake kapata saizi yake
Kwani nasheria zenyewe mlizifuata au ilibakia MIMI NI NANI, na kwa sasa KAMLETE IMERUDI KWA KASI YA AJABU
 
Back
Top Bottom