Sasa mbona mnalalamika, kama aliwaondoa nayeye kaondoka shida iko wapi? Wewe uliyebaki unalalamika ndo una matatizo!Aliona raha kuwabana pumbu wenzake , Siku ilipofika vijana wa kazi wakamweka sawa ,walimbana kisawasawa , mwisho ikabaki kutembezwa mitaani kwenye sanduku Kama bidhaa
Kale kauwanja kanawapigisha kelele kama matahaira! Mlidhani kuwaachia mashimo tu kwa kusomba dhahabu yote bila kuwaachia kitu?Mbona hakujifuatilia alipompa tenda Bwana shemegi ya kujenga uwanja wa ndege wa CHato?
La maana aliwajengea wanga wa Chato uwanja badala ya kurushia nyungo zao vichakani
Kale kauwanja kanawapigisha kelele kama matahaira! Mlidhani kuwaachia mashimo tu kwa kusomba dhahabu yote bila kuwaachia kitu?
Mwache alijiongeza maana Geita yote haina kitu ardhini, imebaki mahandaki
Sasa mbona mnalalamika, kama aliwaondoa nayeye kaondoka shida iko wapi? Wewe uliyebaki unalalamika ndo una matatizo!
Ufipa msinune!Endelea kuisikiliza hiyo sauti
Nalog off
unataka kusema nini?Na amefunga huyo mama?
SafiMungu ampe wepesi
Tuliwapigia kura wote wawili kwa sababu Tunawaamini.
He he he heee ngoja nicheke Kwanza Nita coment baadae. Nikishaongea na mods.Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na kuipendezesha jiji la Dodoma.
Rais Samia amesema ameachiwa urithi mzito wa kukamilisha miradi yote na atafanya kama alivyowaahidi watanzania kuwa hakuna hata mradi mmoja utakaoshindwa kukamilika na wananchi wasiwe na wasiwasi.
Mie sio mwana UfipaUfipa msinune!