Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

Hata kama huoni ndugu zako watasoma na kutibiwa kwenye shule na hospitali zilizojengwa na huyu mama kwa miaka miwili hii
Wewe ni mpumbavu Samia amekuozesha wewe kujenga hizo hospital au shule?.
 
Bila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya.

Ukifuatilia deliverables zake you will be shocked. Facts and data zinaonesha amefanya mambo mengi kwa muda mfupi, pengine kuliko mtangulizi wake.

Hakika, she is composed and focused. Anatuonesha kwa vitendo namna sahihi ya kuongoza, just focus on your strategies, kelele zita ku-distract.

Nataka niwahakikishieni DP World ikianza kufanya kazi, mtajua hamjui.

Nawasilisha container(40ft) la maua kwa mama.

Mungu aendelee kumtunza.
AMEN
 
Back
Top Bottom