Rais Samia: CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
"Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma.

Katika mkutano huo ulikua na Ajenda tatu ambazo ni Kupokea na kutathmini Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25, Kupokea na kutathmini kazi za chama na jumuiya zake (2017/22) na Kuchagua viongozi wa kitaifa.

1670414572410.png
 
61 ya Uhuru[emoji23][emoji23][emoji23].
Kanyaga twendeee mpaka wakomee
 
"Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma.

Katika mkutano huo ulikua na Ajenda tatu ambazo ni Kupokea na kutathmini Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25, Kupokea na kutathmini kazi za chama na jumuiya zake (2017/22) na Kuchagua viongozi wa kitaifa.

Nani awaige wezi
 
Mazuzu na mazwazwa wanazidi kuwa wengi ndani ya nchi hii na mbaya zaidi ndio wenye nafasi za kimaamuzi hakika taifa liko kwenye kiza

"Maarifa siku zote na ujinga hukosa nafasi"
 
Back
Top Bottom