kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Nani awaige wezi"Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma.
Katika mkutano huo ulikua na Ajenda tatu ambazo ni Kupokea na kutathmini Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25, Kupokea na kutathmini kazi za chama na jumuiya zake (2017/22) na Kuchagua viongozi wa kitaifa.
CCM MBELE KWA MBELEWameanza kukiri wenyewe bila shuruti kuwa nchi inaongozwa na mbumbumbu
View attachment 2438875