Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Uwezo wa kupanga: kuua, kuteka, kupoteza , kuvunja katiba and the like"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu wa kwanza wa Chama hiki Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kwa upande mwingine tukio hili linathibitisha umadhubuti wa Chama chetu na uwezo wake wa kupanga, kuamua na kutenda mambo makubwa na yenye maslahi kwa chama na Taifa letu.Ninaamini kuwa baada ya kukamilika kwa jengo hili sio tu tutalitumia au litatumika kwa kazi za utawala, bali pia itakuwa ni alama nyingine isiyofutika ya uimara, umoja na utambulisho wa Chama Cha Mapinduzi ndani na nje ya nchi.
Tutakuwa na jengo la kisasa linaloakisi sio tu ukubwa wa Chama chetu bali pia nafasi ya Chama hiki kuiongoza nchi yetu Tanzania lakini pia kuwa Chama kikubwa ndani ya Afrika lakini hasa kusini mwa bara la Afrika."- Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma.
Haya uliyoyataja hapa ndiyo hasa wanachopanga....Uwezo wa kupanga: kuua, kuteka, kupoteza , kuvunja katiba and the like
LIberia kulikuwa na Chama kinaitwa True Whig Party. Hiki chama kilitawala Liberia kwa miaka 111 toka 1869 mpaka 1980.Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;
"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu wa kwanza wa Chama hiki Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kwa upande mwingine tukio hili linathibitisha umadhubuti wa Chama chetu na uwezo wake wa kupanga, kuamua na kutenda mambo makubwa na yenye maslahi kwa chama na Taifa letu.Ninaamini kuwa baada ya kukamilika kwa jengo hili sio tu tutalitumia au litatumika kwa kazi za utawala, bali pia itakuwa ni alama nyingine isiyofutika ya uimara, umoja na utambulisho wa Chama Cha Mapinduzi ndani na nje ya nchi.
Tutakuwa na jengo la kisasa linaloakisi sio tu ukubwa wa Chama chetu bali pia nafasi ya Chama hiki kuiongoza nchi yetu Tanzania lakini pia kuwa Chama kikubwa ndani ya Afrika lakini hasa kusini mwa bara la Afrika."
Na chama kimeundwa kiwe Cha kudumuRais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;
"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu wa kwanza wa Chama hiki Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kwa upande mwingine tukio hili linathibitisha umadhubuti wa Chama chetu na uwezo wake wa kupanga, kuamua na kutenda mambo makubwa na yenye maslahi kwa chama na Taifa letu.Ninaamini kuwa baada ya kukamilika kwa jengo hili sio tu tutalitumia au litatumika kwa kazi za utawala, bali pia itakuwa ni alama nyingine isiyofutika ya uimara, umoja na utambulisho wa Chama Cha Mapinduzi ndani na nje ya nchi.
Tutakuwa na jengo la kisasa linaloakisi sio tu ukubwa wa Chama chetu bali pia nafasi ya Chama hiki kuiongoza nchi yetu Tanzania lakini pia kuwa Chama kikubwa ndani ya Afrika lakini hasa kusini mwa bara la Afrika."
Uwezo wa kupanga: kuua, kuteka, kupoteza , kuvunja katiba and the like
Mlikuwa mnamuigizia Nani kuhusu vyama vingi nyie wezi ?Na chama kimeundwa kiwe Cha kudumu
View: https://www.instagram.com/reel/DKMHTrRCCvb/?igsh=MTFsNW1sdjJiOGJkdg==
Nikadhani.aneweka jiwe kujenga zahanati mhiiRais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;
"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu wa kwanza wa Chama hiki Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kwa upande mwingine tukio hili linathibitisha umadhubuti wa Chama chetu na uwezo wake wa kupanga, kuamua na kutenda mambo makubwa na yenye maslahi kwa chama na Taifa letu.Ninaamini kuwa baada ya kukamilika kwa jengo hili sio tu tutalitumia au litatumika kwa kazi za utawala, bali pia itakuwa ni alama nyingine isiyofutika ya uimara, umoja na utambulisho wa Chama Cha Mapinduzi ndani na nje ya nchi.
Tutakuwa na jengo la kisasa linaloakisi sio tu ukubwa wa Chama chetu bali pia nafasi ya Chama hiki kuiongoza nchi yetu Tanzania lakini pia kuwa Chama kikubwa ndani ya Afrika lakini hasa kusini mwa bara la Afrika."
Ego katika ubora wakeNa chama kimeundwa kiwe Cha kudumu
View: https://www.instagram.com/reel/DKMHTrRCCvb/?igsh=MTFsNW1sdjJiOGJkdg==
Hivi chanel O bado ipo?Uwezo wa kupanga: kuua, kuteka, kupoteza , kuvunja katiba and the like
Vyama vingi kwenye Nchi ya kijamaa? Wewe mjinga eti?Mlikuwa mnamuigizia Nani kuhusu vyama vingi nyie wezi ?
Ubepari Ujamaa vyote mlishashindwa na hamna mnaloliweza zaidi ya uhalifu kuwaelekea Raia na Mali zao.Vyama vingi kwenye Nchi ya kijamaa? Wewe mjinga eti?
Kwamba Rasilimali zote hizi ambazo CCM inawekeza unataka ziende Bure? π
Mwisho kaulize Russia Vyama vingi viko au haviko na kama viko kajifinzeni vinavyofanya siasa
Tunafanya ujamaa wa siasa na ubepari wa UchumiUbepari Ujamaa vyote mlishashindwa na hamna mnaloliweza zaidi ya uhalifu kuwaelekea Raia na Mali zao.
ππ Kali ya Mwaka.Tunafanya ujamaa wa siasa na ubepari wa Uchumi