PreGE2025 Rais Samia: CCM tunauwezo wa kuamua, kupanga na kutenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;

"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu wa kwanza wa Chama hiki Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Kwa upande mwingine tukio hili linathibitisha umadhubuti wa Chama chetu na uwezo wake wa kupanga, kuamua na kutenda mambo makubwa na yenye maslahi kwa chama na Taifa letu.Ninaamini kuwa baada ya kukamilika kwa jengo hili sio tu tutalitumia au litatumika kwa kazi za utawala, bali pia itakuwa ni alama nyingine isiyofutika ya uimara, umoja na utambulisho wa Chama Cha Mapinduzi ndani na nje ya nchi.

Tutakuwa na jengo la kisasa linaloakisi sio tu ukubwa wa Chama chetu bali pia nafasi ya Chama hiki kuiongoza nchi yetu Tanzania lakini pia kuwa Chama kikubwa ndani ya Afrika lakini hasa kusini mwa bara la Afrika."

Sina shida na ww

Sina shida na ww mama ila acha wizi na uuwaji
 
LIberia kulikuwa na Chama kinaitwa True Whig Party. Hiki chama kilitawala Liberia kwa miaka 111 toka 1869 mpaka 1980.

Zaidi ya kuwaambukiza Waliberia Umasikini usiotibika hakuna cha maana walichoifanyia Liberia. Hicho chama kilikuwa na tabia zote ambazo CCM wanazo. Walikiwa mabingwa wa kuiba chaguzi na kupindua maamuzi ya wananchi.

Walikuwa na viwanja, majengo na vyombo vya dola kama CCM. Lakini leo hii kimebaki kwenye makaratasi hakina tofauti na SAU ya kwetu. Ipo siku CCM itafikia huko na haya wanayosema ni majengo yao na viwanja vyao vitarudi kuwa mali ya umma.

Kama kuna mtu anadhani CCM italeta maendeleo akasome historia ya True Whig Party ya Liberia
Pia makao makuu yao sasa ni magofu ya vibaka na changudoa. Limechakaa na kukosa wa kulinunua au kuwekeza. Ingia Google au You Tube andika Liberia Whig Party headquarters ushuhudie kuwa hakuna kisicho na Mwisho.

E.J ROYE BUILDING ni jina rasmi la jengo hilo kama ambavyo la CCM litaitwa SAMIA SULUHU HASSAN. Jengo hilo la chama tawala kilichokufa Liberia lilipewa Jina Edward James Roye aliyeanzisha na kugharamia ujenzi wake akiwa Rais wakati huo.
 
Haya lazima yatatokea kwa ccm. Watake wasitake
 
Ndumilakuwilo gani tena? China,Russia zote zinafanya aina hiyo ya siasa.

Nyie bwabwajeni huko.kuleni tonetone za nyumbu ila Ikulu mtaishia kuviona kwenye tv 😁😁
Hizo Nchi zinaendeshwa Kijeshi ...ila huo ujamaa wenu km ndio ule uliovujishwa . Endeleeni.
 
Mene mene tekel upharsin" is a phrase from the Book of Daniel, chapter 5, in the Bible. It refers to the mysterious handwriting that appeared on the wall during a feast given by King Belshazzar. The phrase means: "Mene: God has numbered your kingdom and brought it to an end; Tekel: You have been weighed and found wanting; Upharsin: Your kingdom is divided and given to the Medes and Persians".
 
Wauaji wanapojigamba kuwa wana uwezo wa kupanga wamteke nani, wambambikie kesi nani, wamtese na wamwue nani, na wakatekeleza.
CCM ya sasa ni mbaya kwa maisha ya mtanzania kuliko shetani.
 
Back
Top Bottom