PreGE2025 Rais Samia: CCM tunauwezo wa kuamua, kupanga na kutenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
😂😂 Kali ya Mwaka.
Ndumilakuwili hatari kweli kweli.
Haya Msalimie Abduli na Zayumba.
Ndumilakuwilo gani tena? China,Russia zote zinafanya aina hiyo ya siasa.

Nyie bwabwajeni huko.kuleni tonetone za nyumbu ila Ikulu mtaishia kuviona kwenye tv 😁😁
 
Mbulumundu hawa
Screenshot_20250528-125933_Google.jpg
 
Sasa kwanini ulikuwa unajitia kimbelembele kuniquote kwamba eti wanatukana?! Sasa unapiga uturn.
You turn gani? Wewe si umeelerza shutuma Kwa watu,Sasa hao ndio watajibia ila Mimi naelezea kwamba hao hata wasipokuwepo haizuii maisha kuendelea
 
Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;

"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa na Mwenyekiti wetu wa kwanza wa Chama hiki Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Kwa upande mwingine tukio hili linathibitisha umadhubuti wa Chama chetu na uwezo wake wa kupanga, kuamua na kutenda mambo makubwa na yenye maslahi kwa chama na Taifa letu.Ninaamini kuwa baada ya kukamilika kwa jengo hili sio tu tutalitumia au litatumika kwa kazi za utawala, bali pia itakuwa ni alama nyingine isiyofutika ya uimara, umoja na utambulisho wa Chama Cha Mapinduzi ndani na nje ya nchi.

Tutakuwa na jengo la kisasa linaloakisi sio tu ukubwa wa Chama chetu bali pia nafasi ya Chama hiki kuiongoza nchi yetu Tanzania lakini pia kuwa Chama kikubwa ndani ya Afrika lakini hasa kusini mwa bara la Afrika."

Jengeni tu lakini siku yaja na haiko mbali mali zote zitarudi mikononi mwa Watanganyika.
 
Nyerere hakuwa kubinafsisha rasilimali za inchi
 
Back
Top Bottom