PreGE2025 Rais Samia: CCM tunauwezo wa kuamua, kupanga na kutenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sina shida na ww
Sina shida na ww mama ila acha wizi na uuwaji
 
Pia makao makuu yao sasa ni magofu ya vibaka na changudoa. Limechakaa na kukosa wa kulinunua au kuwekeza. Ingia Google au You Tube andika Liberia Whig Party headquarters ushuhudie kuwa hakuna kisicho na Mwisho.

E.J ROYE BUILDING ni jina rasmi la jengo hilo kama ambavyo la CCM litaitwa SAMIA SULUHU HASSAN. Jengo hilo la chama tawala kilichokufa Liberia lilipewa Jina Edward James Roye aliyeanzisha na kugharamia ujenzi wake akiwa Rais wakati huo.
 
Haya lazima yatatokea kwa ccm. Watake wasitake
 
Ndumilakuwilo gani tena? China,Russia zote zinafanya aina hiyo ya siasa.

Nyie bwabwajeni huko.kuleni tonetone za nyumbu ila Ikulu mtaishia kuviona kwenye tv 😁😁
Hizo Nchi zinaendeshwa Kijeshi ...ila huo ujamaa wenu km ndio ule uliovujishwa . Endeleeni.
 
Mene mene tekel upharsin" is a phrase from the Book of Daniel, chapter 5, in the Bible. It refers to the mysterious handwriting that appeared on the wall during a feast given by King Belshazzar. The phrase means: "Mene: God has numbered your kingdom and brought it to an end; Tekel: You have been weighed and found wanting; Upharsin: Your kingdom is divided and given to the Medes and Persians".
 
Wauaji wanapojigamba kuwa wana uwezo wa kupanga wamteke nani, wambambikie kesi nani, wamtese na wamwue nani, na wakatekeleza.
CCM ya sasa ni mbaya kwa maisha ya mtanzania kuliko shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…