Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Una akili kisoda. Ukikua utaacha.Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni.
Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO kistarabu
* Kashfa kwa baadhi ya viongozi waliofariki zimekuwa nyingi;
* Kashfa kwa viongozi walioko madarakani zimekuwa nyingi - hususan uzanzibari, kuondolewa kwa maasai ngorongoro, dp world nk
Maridhiano si matusi, dhihaka na kuzua uongo. CDM wasipodhibitiwa mapema hapo baadae watajenga usugu.
Hiyo CDM ni chama gani cha siasa?Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni.
Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO kistarabu
* Kashfa kwa baadhi ya viongozi waliofariki zimekuwa nyingi;
* Kashfa kwa viongozi walioko madarakani zimekuwa nyingi - hususan uzanzibari, kuondolewa kwa maasai ngorongoro, dp world nk
Maridhiano si matusi, dhihaka na kuzua uongo. CDM wasipodhibitiwa mapema hapo baadae watajenga usugu.
Kwa taarifa yako uongo kwenye kazi za siasa ni lazima na ni moja ya kazi walizonazo wanasiasa ,kama haujui kutunga uongo ukaelekea na ukaaminika basi haujakuwa mwanasiasa mbobezi.Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni.
Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO kistarabu
* Kashfa kwa baadhi ya viongozi waliofariki zimekuwa nyingi;
* Kashfa kwa viongozi walioko madarakani zimekuwa nyingi - hususan uzanzibari, kuondolewa kwa maasai ngorongoro, dp world nk
Maridhiano si matusi, dhihaka na kuzua uongo. CDM wasipodhibitiwa mapema hapo baadae watajenga usugu.
kwahiyo unataka watu wasiwe na uhuru wa kuongea? hata mambo ya msingi? kwani wametukana? jibuni hoja.Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni.
Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO kistarabu
* Kashfa kwa baadhi ya viongozi waliofariki zimekuwa nyingi;
* Kashfa kwa viongozi walioko madarakani zimekuwa nyingi - hususan uzanzibari, kuondolewa kwa maasai ngorongoro, dp world nk
Maridhiano si matusi, dhihaka na kuzua uongo. CDM wasipodhibitiwa mapema hapo baadae watajenga usugu.
Wewe udhibitiwe,upuuzi wako ni mbaya sana.Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni.
Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO kistarabu
* Kashfa kwa baadhi ya viongozi waliofariki zimekuwa nyingi;
* Kashfa kwa viongozi walioko madarakani zimekuwa nyingi - hususan uzanzibari, kuondolewa kwa maasai ngorongoro, dp world nk
Maridhiano si matusi, dhihaka na kuzua uongo. CDM wasipodhibitiwa mapema hapo baadae watajenga usugu.
CCM TULIENI DAWA IWAINGIERais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni.
Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO kistarabu
* Kashfa kwa baadhi ya viongozi waliofariki zimekuwa nyingi;
* Kashfa kwa viongozi walioko madarakani zimekuwa nyingi - hususan uzanzibari, kuondolewa kwa maasai ngorongoro, dp world nk
Maridhiano si matusi, dhihaka na kuzua uongo. CDM wasipodhibitiwa mapema hapo baadae watajenga usugu.
Wewe unasemaje kuhusu Uzanzibar, kuondolewa kwa Maasai Ngorongoro na Dp World?Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni.
Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO kistarabu
* Kashfa kwa baadhi ya viongozi waliofariki zimekuwa nyingi;
* Kashfa kwa viongozi walioko madarakani zimekuwa nyingi - hususan uzanzibari, kuondolewa kwa maasai ngorongoro, dp world nk
Maridhiano si matusi, dhihaka na kuzua uongo. CDM wasipodhibitiwa mapema hapo baadae watajenga usugu.
Sisi pia tunahaki ya kusoma na kukujibu hivyo weka hoja zako hapa zinazuhusu madai yako, vinginevyo ni majungu.Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,