Pre GE2025 Rais Samia, CHADEMA wakikashifu mamlaka waonywe, wakiachwa wanajenga usugu, watasumbua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mnaanza kuogopa? sasa kama chadema imepasuka mnaogopa nini? rubbish
 
Hakuna mamlaka inayopatikana kwa kupora chaguzi za nchi. Sema hayo ni majizi yaliyo madarakani, hata wakipewa ukweli hakuna shida.
 

Kwahiyo tusi linakuwa na kitambulisho sio muda utaanza kuokota makopo
 
Kwa mujibu wa mafisiem hayo ndiyo matusi
 
Hebu punguza jazba na upumbavu.Hivi kama hao unaowatetea wangeendesha nchi kwa mujibu wa Katiba waliyoapa kuilinda na kuitetea hayo mambo ya CHADEMA kuwasema vibaya viongozi yangetoka wapi?Tafadhari rejea utawala wa Awamu ya Tatu baada ya kujibu mashambulizi ya NCCR-MAGEUZI,CUF na TLP kwa matendo na mfano mzuri nani alipoteza kupambana na hiyo awamu?Ndiyo maana Kikwete alipata kura 2005 bila CCM kuiba kura.
 
Mama fungal haooo tumeishi kama tuko mbinguni 2015 mpaka 2021 wasikuchezee wape dosi ya magu wanyooke watoee 2026 wagoner tena uchaguzi

Ati atutashiriki uchaguzi pesa shetani
 
We jamaa bainisha hizo kashfa,nje ña hapo nyie ndo wale chawa wanaosemwa,hoja za Lissu zinahitaji kujibiwa kwa ushahidi na sio mbwelambwela zinazofanyika,kwamfano suala la bandari hakuna kinachoelezwa kinagaubaga,Lissu kauliza kwanini bandari zilizobinafsishwa ni za bara na za Zanzibar hazijawa included,hakuna majibu sasa hapo kakashifu kipi!?.
 
Kama mnaona kuna uongo au upotoshwaji unafanyika si muwapeleke mahakamani? Hoja za hao jamaa ni za kweli na ngumu kujibika. Au unadhani Pogba alikua mjinga kutumia Bunduki badala ya kujibu hoja zake?!
Eti Pogba,watu mna mambo ha ha ha ha ha ha.
 
Machawa subirini ,ipo siku mtaona Mungu anavyolipenda Taifa hili , nawaombe muishi mwika mingu ili Muone utukufu wa Mungu juu ya Taifa hili , hamtaamini
 
Machawa subirini ,ipo siku mtaona Mungu anavyolipenda Taifa hili , nawaombe muishi mwika mingu ili Muone utukufu wa Mungu juu ya Taifa hili , hamtaamini
Ukimwona mwenzako ni chawa basi wewe waweza kuwa kiroboto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…