Ina maana rais hakuwa na option nyingine mpaka amrudishe Chalamila?Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno.
Amesema alimuacha kipindi kilochopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
Kazi ya CCMRaisi yuko Sahihi Chalamila na Makongoto Nyerere wanatakiwa kujua vyeo vikubwa kama vya kuteuliwa na Raisi they need to behave themselves as senior responsible government officials not comedians
Or playboys.Nafasi hizo ni kubwa
Juzi tu kateuliwa akaanza kuimba Mapambio na Mkewe ya kusherekea .... sasa sijui kakua lini.....!!Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno.
Amesema alimuacha kipindi kilochopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
Hapulizi kweli yuleHuwa sina tatizo na Chalamila. Anatakiwa tu kujifunza kusoma mazingira ili kujua aina ya utani wa kutumia.
Raisi KaonyaKazi ya CCM
Hao ndio wanafaa msituletee mijitu ikipata ukuu wa wilaya au mkoa inajiona kama untouchable , kama yale majambazi Sabaya na matako BashiteRaisi Kaonya
Makongoro Nyerere na Chalamila they treat so lightly cheo cha ukuu wa mkoa
Wanajigeuza comedians au playboys hawatambui kuwa wao ni senior Government officials wanaohitaji ku behave themselves!! As Senior Government officials
Anyway it is a last warning