JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,392
- 1,578
Watu ni wajinga sana ndugu yangu,njaa huwafanya watu kuwa mazuzu.Kwani ikiteuliwa ni lazima ukubali, ya nini kusimangwa kama mtoto kisa ukuu wa mkoa, mbona sie wengine tunaishi hata ukuu wa kaya hatuujui unafananaje