Rais Samia: Chalamila wewe ni mfanyakazi mzuri ila naomba ukakue

Kwanini ATEULIWE Asiyekua wakati Waliokua Wapo?
 
Hakuna tatizo kwa Mama kumwambia mwanae ukweli.

Hii inathibitisha kuwa Mama anampenda mwanae
Acheni kujidekeza na umama umama.

Rais afanye kazi kama Rais wa nchi na sio UMAMA UMAMA mara sijui MWANANGU.

Hapa hatuna Rais. Tuna sanamu yenye ushungi.
 
Raisi yuko Sahihi Chalamila na Makongoro Nyerere wanatakiwa kujua vyeo vikubwa kama vya kuteuliwa na Raisi they need to behave themselves as senior responsible government officials not comedians
Or playboys.Nafasi hizo ni kubwa
hahahahaha

kusimanga walevi ni unyanyasaji wa kistarehe

mlevi ananyanyaswa nchi hii kuliko muasherati
 
Sasa aache kuongea ongea sana. Lazima aishi kama mkuu wa mkoa
 
CCM NI MAFII[emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Unajua Kuna watu wameumbwa na tabia za vituko,kwamfano mtu Kama Mr Bean unambadilishaje tabia!!
Yaani yeye bila kufanya utani haoni raha.Kwaiyo Mama achague moja kuzika Dodoma au kusafirisha!
 
Vieteee ya Serikali tamu sana

plus visaluti vya hapa na pale vya kamati ya Ulinzi na usalama

wee humuoni Alberto Msando kaanza kuota kitambi
Msando si alikuwa anajifanya ana hela jumbe uzushi tu,mshahara wa RC hauzidi milioni kumi ,Kafulila alikaribia kupasuka kwa unene,watakuwa wanapiga dili na wakurugenzi wa halmashauri
 
Sasa Bia na Kwaito itakuwaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…