Rais Samia: Chalamila wewe ni mfanyakazi mzuri ila naomba ukakue

Kwani ikiteuliwa ni lazima ukubali, ya nini kusimangwa kama mtoto kisa ukuu wa mkoa, mbona sie wengine tunaishi hata ukuu wa kaya hatuujui unafananaje
Watu ni wajinga sana ndugu yangu,njaa huwafanya watu kuwa mazuzu.
 
Hata wanawake ukiwauliza wanataka nini wengi hawajui. Acha twende tu hivyo hivyo. Kuba mmoja katumbuliwa kabla ya kuapishwa, sasa na yeye akakue au Kuna sababu nyingine?
Inawezekana mjomba yule nae hajakuwa kumbe naye akakue kwanza halafu atakuja kuapishwa.
 
Cheo hicho wanapwaya they don't behave like senior government officers .They just behave like comedians
Bwana weeeeh!

Hayo mavyeo kwanza ni upuuzi mtupu. Waache watu wawe huru kuishi uhalisia wao!

Chalamila alikuwa chalamila kabla ya kuwa mkuu wa mkoa. Na ataendelea kuwa chalamila hata baada ya kuwa mkuu wa mkoa.

Mengine ni maigizo tu na unafiki.
 
GENTAMYCINE naomba Rais wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 akishaapishwa tu aende ( apelekwe ) haraka katika induction course hata ya Wiki Mbili ili akapikwe vyema jinsi ya Kuwasilisha Jambo Kimantiki, kufanya 'Public Speaking' na Kutumia 'Akili Kubwa' katika kupeleka Ujumbe ili asije Kudharauliwa na Kuonekana ni Kituko kwa Watanzania 'Great Thinkers' wachache waliopo.
 
Tanzania ipi?
 
Chalamila ni great thinker!, mama naye anajaribu kucheza mziki wa kijana wakati anajua wazi kiatu chake ni mchuchumio. Chala anapiga sana kazi hapendi kona kona, asifundishwe ujanja ujanja jamani
 
Huyo kapekekwa Katerero huko akapige kelele
 
Huyo kapekekwa Katerero huko akapige kelele
Mkuu Wahaya siku hizi Wamestaarabika na hawana yale Mauzauza yao tuliyoyazoea hasa pale Msasani Maandazi Road, Temeke mkabala na Hospitali na Mwananyamala.
 
Lakini kuna watu wengi tu wasomi na wenye weledi wa kuongoza.
Kwa nini ateuliwe Chalamila tu?
Anyway, pengine ni siri ya serikali.
 
Inamaana CCM yamebaki maboya matupu hivyo anapata shida kuyachagua mengine!
 
Mteuzi mwenyewe ndiye huyo amewahi kusema macho yake yamelegea! How do you take that?
Na mtangulizi wake yaani mwendazake alikuwa na utani wa kishamba sana hadi akawa anamkuwadia Saa100 kwa wageni wa kimataifa waliokuwa ukumbini akidai ni mzuri na kuwasifia wanawake weupe mfano yule mgombea ubunge mwanamke wa Temeke.
 
Rais mwenyewe ana akili za kisichana za "sitaki nataka" hilo likatiba lililomweka madarakani ni libaya mno.

Kwa kweli hafai kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…