Pre GE2025 Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo siku yoyote mmiliki wa nguo anaweza kuichukua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia amewataka Viongozi Wote kutanguliza maslahi ya Taifa mbele kabla ya maslahi yao na kwamba Wezi hawana nafasi kwenye Serikali yake

Madaraka ni Sawa na Nguo ya kuazima ambayo Siku yoyote mmiliki wa Nguo anaweza kuichukua, amesisitiza mh Rais

Source: Ayo TV

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
CHURA ni muongo jamani!! Wakati yy ndio Dalali mkuu wa mbuga na bandari!!
Ona anavyo jichanganya ripoti ya CAG wametajwa watu kwa uizi wa mali za uma yy anachekacheka nao.leo hii anatoa wapi ujasiri huu? Wa uongo?

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Rais Samia amewataka Viongozi Wote kutanguliza maslahi ya Taifa mbele kabla ya maslahi yao na kwamba Wezi hawana nafasi kwenye Serikali yake

Madaraka ni Sawa na Nguo ya kuazima ambayo Siku yoyote mmiliki wa Nguo anaweza kuichukua, amesisitiza mh Rais

Source: Ayo TV

Nawatakia Sabato Njema 😄
Taifa gani?
 
Mbona anaiba kura sasa. Aache wananchi 2025 tuchukuwe nguo yetu tuliyomwazima.
 
Rais Samia amewataka Viongozi Wote kutanguliza maslahi ya Taifa mbele kabla ya maslahi yao na kwamba Wezi hawana nafasi kwenye Serikali yake

Madaraka ni Sawa na Nguo ya kuazima ambayo Siku yoyote mmiliki wa Nguo anaweza kuichukua, amesisitiza mh Rais

Source: Ayo TV

Nawatakia Sabato Njema 😄
Ujumbe unamhusu Nape pale anaposema bila yeye Lowassa angeingia ikulu, yaani aachiwe afanye kila aina ya upuuzi kisa kalala porini mwaka 2015 wakati wa kipindi cha kampeni!.

Kuna maneno alimwambia Waziri Kombo kuhusu pale mambo ya nje, ni ujumbe mzuri kwa Makamba.

Katengeneza mradi wa kujenga ghorofa kule Kenya na wataalam wanaomsaidia kazi SSH wamegundua kuna upigaji umejificha kwenye utekelezaji mzima wa huo mradi.

Makamba yupo 'after material wealth' mpaka anawakera waliompa cheo. Awali kule wizara ya nishati alitengeneza mradi wa mabilioni na kampuni ya India wakati umeme wenyewe ulikuwa wa taabu na mgao ukiwatesa wateja wa TANESCO.
 
Rais Samia amewataka Viongozi Wote kutanguliza maslahi ya Taifa mbele kabla ya maslahi yao na kwamba Wezi hawana nafasi kwenye Serikali yake

Madaraka ni Sawa na Nguo ya kuazima ambayo Siku yoyote mmiliki wa Nguo anaweza kuichukua, amesisitiza mh Rais

Source: Ayo TV

Nawatakia Sabato Njema 😄
Ikifika zamu yake asiwatumie Tiss tu.
 
Back
Top Bottom