Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,113
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo, kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano, kwa kinachoendelea bandarini, kama ukweli uko seriously, mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana, ili tujue uko mguu sawa, wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni, hapa umeingizwa chaka.

Mambo bado kabisa, kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana. Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako.

Wamejipanga, walipukutishwa, wanazirudisha kwa kasi, pia kumbuka hawakumalizwa
 
Rudisheni Kwanza matrillion mliyokwapua hazina bila huruma. Ni tone tu baharini la trillion 1.5 liliwekwa hadharani na mzalendo Assad na zingine zikiwekwa hadharani watanzania watapatwa na cardiac arrest.
 
Rudisheni Kwanza matrillion mliyokwapua hazina huruma. Ni tone tu baharini la trillion 1.5 liliwekwa hadharani na mzalendo Assad na zingine zikiwekwa hadharani watanzania watapatwa na cardiac arrest.
Huna akili.

Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
 
Rudisheni Kwanza matrillion mliyokwapua hazina bila huruma. Ni tone tu baharini la trillion 1.5 liliwekwa hadharani na mzalendo Assad na zingine zikiwekwa hadharani watanzania watapatwa na cardiac arrest.
Huu ndio muda muafaka wa Rais Samia kuzirudisha pesa za umma serikalini, vinginevyo unajitekenya na kucheka mwenyewe, hizo pesa hazifichiki kabwela wewe
 
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?


Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.


Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
Wahuni hawakuisha. Anawachekea. Shauri lake.
 
Huu ndio muda muafaka wa Rais Samia kuzirudisha pesa za umma serikalini,vinginevyo unajitekenya na kucheka mwenyewe,hizo pesa hazifichiki kabwela wewe
black sniper amecomment sehemu tunapenda kutetea wizi. Jiwe bila aibu ukiondoa matrillion aliyolamba rambirambi kakwapua mchana kweupe lakini unanitukana. Siyo fair aisee
 
Siyo trillion 1.5 aliiba tu jamaa aliiba jumla ya trillion 9.8 naushee tena pekee yake ukijumlisha na mabilion ya rambirambi. Imejin nine trillion and something.

That's why his life was shortened without that the dude would continue scooping trillions more
Senseless +stupidity reply
 
Serikali ya awamu ya sita mpangaji ni Jakaya ,eti madudu ya awamu ya tano anasukumiwa mzigo yeye,kwani yeye hakuwa sehemu ya hiyo awamu?
Alifikiri hicho kiti ni kirahisi kiivyo!!
 
Back
Top Bottom