thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo, kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.
Nikupe mfano, kwa kinachoendelea bandarini, kama ukweli uko seriously, mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana, ili tujue uko mguu sawa, wanasubiri nini ofisini?
Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni, hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa, kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana. Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.
Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako.
Wamejipanga, walipukutishwa, wanazirudisha kwa kasi, pia kumbuka hawakumalizwa