The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Iba uone moto labda usibainikeMama wa kambo akae kwa kutulia, yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura, wengine nao wameamua kuiba kwenye maeneo yao. Hivyo hawamuogopi maana haya yeye sio msafi.
Iba uone moto labda usibainike
Kuhamia Dodoma kulitusaidiaje kwa mfano?Huna akili.
Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Akichukua hatua usianze kulia lia maana anawala vichwa sukuma gang ambao kwa sasa mnamzunguka mamaRais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.
Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?
Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.
Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,
Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
Naona kakuvuga sana,huyo mwendazake alikuwa janga la Taifa,tatizo ni mfumo,Luna watu hawagusiki kwenye nchi hiiIt's not fair to call me an idiot. Those who have stollen trillions you call them patriots. What kind of human beings are you? Do you really have blood running on your fakin'veins? Me I haven't cause any loss to the country but some one who's an expert in misusing and stealing public funds and money unashamedly since 1995 you calling him a patriot. What kind of creatures are you???[emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Huna akili.
Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Na vitu kua bei rafiki huduma za kijamii kua za uhakika Yan wasio mpenda magufuli wanafikir kumchafua ni kazi Raish [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiti kimeanza kupata joto sasa, alifanya makosa kuwatumbua watendaji wengi walioaminiwa na Magufuli hasa Kakonko wa TPA pale alipigwa mchana kweupe kumuondoa pale..
Wezi wakubwaHuna akili.
Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Unajua mshauri namba Moja wa rais ni nan?Eti madudu ya awamu ya tano anasakiziwa yeye,hivi hakuhudumu awamu ya tano?,tena mshauri namba moja?,mbaya zaidi anawarudisha wahuni wakati Magufuli hakuwamaliza
Huyu ni hasara kwa taifa
Mme wakoUnajua mshauri namba Moja wa rais ni nan?
Kwahiyo aendelee kuharibu?,je kama rais aliingizwa chaka dhidi ya huo uteuzi?Mkurugenzi wa TPA kateuliwa April 4 2021. Leo miezi nane baadaye atenguliwe?
IdiotAkaenda kuzificha kwa Kagame, lakini Kagame akamrusha ndio hapo urafiki wao wa kihalifu ulipoishia. Rejea Kagame hakuwa anakuja tena Tanzania, hata mazishi yake hakuhudhuria.
Uongozi ni kuonyesha njia sio kupaka kucha rangi na kupakatwa na wazungu,kisha kujiombeleza fedha za kujikimuAkichukua hatua usianze kulia lia maana anawala vichwa sukuma gang ambao kwa sasa mnamzunguka mama
Boss, the floor is yours,tell me who is the first adviser of the presidaa in TanzaniaUnajua mshauri namba Moja wa rais ni nan?