Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

Tena Rais ahakikishe anakuwa mkali,nchi iliyojaa vilaza,maskini na corrupt kama hii inatakiwa kuongozwa kwa mkono wa Chuma.

Ilimradi tuu hau compromise haki za binadamu zenye na business community ndivyo nchi maskini zinatakiwa kwenda.

Binafsi utaratibu wa Mwendazake wa ubabe naukubali ila tuu aliniudhi kwenye kupenda kuabudiwa,kuteka watu na kuharibu uchumi na diplomasia ..

Napenda Samia awe chuma hapo ndio uzembe na wizi vitapungua kidogo.
 
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?


Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.


Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
Akichukua hatua usianze kulia lia maana anawala vichwa sukuma gang ambao kwa sasa mnamzunguka mama
 
It's not fair to call me an idiot. Those who have stollen trillions you call them patriots. What kind of human beings are you? Do you really have blood running on your fakin'veins? Me I haven't cause any loss to the country but some one who's an expert in misusing and stealing public funds and money unashamedly since 1995 you calling him a patriot. What kind of creatures are you???[emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Naona kakuvuga sana,huyo mwendazake alikuwa janga la Taifa,tatizo ni mfumo,Luna watu hawagusiki kwenye nchi hii

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia ni Bora kuliko yule mwendakuzimu. Hilo halina ubishi. Ukitoa kasoro alizorithi kutoka kwa mwendawazimu ananafasi kidogo tu ya kujirekebisha na kuwa rais bora.
 
Na vitu kua bei rafiki huduma za kijamii kua za uhakika Yan wasio mpenda magufuli wanafikir kumchafua ni kazi Raish [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Chuki hupofusha kaka, hawezi kukuelewa
 
Kiti kimeanza kupata joto sasa, alifanya makosa kuwatumbua watendaji wengi walioaminiwa na Magufuli hasa Kakonko wa TPA pale alipigwa mchana kweupe kumuondoa pale..

Atakaa Sawa, jicho litakuwa kali sio sasa muda bado
 
Eti madudu ya awamu ya tano anasakiziwa yeye,hivi hakuhudumu awamu ya tano?,tena mshauri namba moja?,mbaya zaidi anawarudisha wahuni wakati Magufuli hakuwamaliza
Huyu ni hasara kwa taifa
Unajua mshauri namba Moja wa rais ni nan?
 
Akaenda kuzificha kwa Kagame, lakini Kagame akamrusha ndio hapo urafiki wao wa kihalifu ulipoishia. Rejea Kagame hakuwa anakuja tena Tanzania, hata mazishi yake hakuhudhuria.
Idiot
 
Akichukua hatua usianze kulia lia maana anawala vichwa sukuma gang ambao kwa sasa mnamzunguka mama
Uongozi ni kuonyesha njia sio kupaka kucha rangi na kupakatwa na wazungu,kisha kujiombeleza fedha za kujikimu
 
Back
Top Bottom