Mimi nilishasema hili taiga linahitaji kiongozi shapu,mbabe,mjuzi wamengi siyo mama mtaratibu,mpole,asiye namengi!!!
Wajinga na wapumbafu hawawezi kuelewa wao kilakitu sawa tuu twende!!
Rais unamwambia waziri "ukishindwa uje uniambie Dada nimeshindwa"??? Bongo hii kweli??? tena mtu ambaye alishatolewa awali kwa underperformance!!! Ccm inatuumiza na kututesa sana mpaka akili ziamke tubadili na kuwachallenge tutakuwa tushazeeka na wengine tushakufa... So very sad indeed!!!