Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

Hivi ni namna gani unaweza kutekeleza majukumu yako bila kuwasikiliza watu? Watu wenyewe sasa hawana jema hakuna siku unaweza ukawafanya watu wote wakukubali muhimu ni kufanya Yale yaliyo mema kwa Nia njema kabisa kwa kuongozwa na SHERIA,kanumi na taratibu zilizowekwa.

Kwa vile hakuna anayetoa hoja KUHUSU wapi Kuna makosa basi KAZI iendelee.
 
Mimi nilishasema hili taiga linahitaji kiongozi shapu,mbabe,mjuzi wamengi siyo mama mtaratibu,mpole,asiye namengi!!!
Wajinga na wapumbafu hawawezi kuelewa wao kilakitu sawa tuu twende!!
Rais unamwambia waziri "ukishindwa uje uniambie Dada nimeshindwa"??? Bongo hii kweli??? tena mtu ambaye alishatolewa awali kwa underperformance!!! Ccm inatuumiza na kututesa sana mpaka akili ziamke tubadili na kuwachallenge tutakuwa tushazeeka na wengine tushakufa... So very sad indeed!!!
 
Tumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Back
Top Bottom