OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
anachoweza kwa sasa ni kujiuzuru tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha nimecheka akili zake za vijiwe vya kahawaHuna akili.
Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Tumepigwa na kitu kizito kichwaniMimi nilishasema hili taiga linahitaji kiongozi shapu,mbabe,mjuzi wamengi siyo mama mtaratibu,mpole,asiye namengi!!!
Wajinga na wapumbafu hawawezi kuelewa wao kilakitu sawa tuu twende!!
Rais unamwambia waziri "ukishindwa uje uniambie Dada nimeshindwa"??? Bongo hii kweli??? tena mtu ambaye alishatolewa awali kwa underperformance!!! Ccm inatuumiza na kututesa sana mpaka akili ziamke tubadili na kuwachallenge tutakuwa tushazeeka na wengine tushakufa... So very sad indeed!!!