Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

Unaweza, fahamu kuna mikopo kutoka kwa mabeberu pia.
Huna akili.

Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
 
Serikali ya awamu ya sita mpangaji ni Jakaya ,eti madudu ya awamu ya tano anasukumiwa mzigo yeye,kwani yeye hakuwa sehemu ya hiyo awamu?
Alifikiri hicho kiti ni kirahisi kiivyo!!
Unajua ukikaa pembeni ukafikiri unaweza usimuamini hata mkeo pembeni yako,
Ukahisi hakuna msaidizi wa kumuamini duniani,
 
Eti madudu ya awamu ya tano anasakiziwa yeye,hivi hakuhudumu awamu ya tano?,tena mshauri namba moja?,mbaya zaidi anawarudisha wahuni wakati Magufuli hakuwamaliza
Huyu ni hasara kwa taifa
Kwa maoni haya ya kizalendo naona hata huko rumumba na dodoma watu wanapigana vibega tu, kweli nchi imedamshi, na mwisho wa mjadala utapatikana uamuzi tu muda si mrefu, wacha watu wazidi kueleweshwa zaidi,
 
Siyo trillion 1.5 aliiba tu jamaa aliiba jumla ya trillion 9.8 naushee tena pekee yake ukijumlisha na mabilion ya rambirambi. Imejin nine trillion and something.

That's why his life was shortened without that the dude would continue scooping trillions more
akazipeleka wapi?
 
Huna akili.

Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Kwanini usijenge...kwani pato la Serikali kwa mwaka ni 1.5 trillion tuu? Wacha ujinga.
 
Mama wa kambo akae kwa kutulia, yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura, wengine nao wameamua kuiba kwenye maeneo yao. Hivyo hawamuogopi maana haya yeye sio msafi.
seme analialia ila ni kweli achukue hatua kali ,hii nchi ya wajinga bila ubabe haiendi hadi hapo ustaarabu utakapatikana.
 
Leo nilikua nasikiliza hotuba kitaa.. Jamaa mmoja anaokota makopo kasema kwa sauti.. Hakuna Rais hapo.. kijiwe kizima kikampigia makofi[emoji1787][emoji1787]
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
 
Kumbe ufisadi mkubwa ulianzia awamu ya tano ya Bwana Chato😁😁😁
 
Akaenda kuzificha kwa Kagame, lakini Kagame akamrusha ndio hapo urafiki wao wa kihalifu ulipoishia. Rejea Kagame hakuwa anakuja tena Tanzania, hata mazishi yake hakuhudhuria.
“Sasa hivi Tanzania kuna ugonjwa tumeupatawa wa kufikiri na kuamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao ni cha kweli, nimesoma baadhi ya mambo wengine wanasema serikali imeiba Sh. Trilioni 1.5, nikamuuliza CAG mbona kwenye ripoti yako uliyonisomea hapa Ikulu hukunieleza huu wizi? Hii trilioni 1.5 mbona hamna, sasa hawa wa trilioni 1. 5 uliwaficha wapi? CAG Prof. Assad akanijibu hakuna kitu kana hicho, Katibu Mkuu akasema hakuna hakuna trilioni 1.5 iliyoibiwa na serikali.
“Sababu ya uhuru wa mtu kuandika chochote, nikacheka tu, hata ndege tuliambiwa ni mbovu, mtu hamuogopi Mungu, anaandika na kuaminisha watu, ningempata hata kama angekuwa Waziri siku hiyo hiyo angeondoka, natafuta hela halafu ziwe zinaibiwa. Lakini kwa vile ipoti ya CAG huwa inajadiliwa kwenye PAC, Wabunge watajadili wataona.
“Unapotosha umma wa Wa-Tanzania milioni 55, madhara yake ni makubwa sana, lazima tutangulize maslahi ya nchi yetu mbele, inawezekana kuna watu wanakuchukia wewe Jaji Mkuu ama wananichukia mimi, chuki hii tusiipeleke kwa Watanzania, naamini katika sheria hizi, kesi kama hizi zikija mtazishughulikia haraka haraka.

“Tanzania tunaipenda sote, nchi hii ikiharibika hayupo atakayebaki salama, tunaweza tukafikiri tupo pembeni, lakini madhara yake ni makubwa kwelikweli,”
 
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
Magufuri alikuwa rais wa awamu ya tano, Samia awamu ya sita. Huyo huyo unaye muita raisi wako mpendwa Samia, muuliza alitwambiaje kuusu yeye na Magufur Tena bungeni?? Si akikataa watu wastofautishe akasema eti wao ni kitu kimoja? Sasa kwann anasema kana kwamba si kitu kimoja???? Hatudanganyikiiiiiii
 
Huna akili.

Unaweza ukaiba trilioni 1.5 alafu bado ukajenga flyover, ndege ,meli , bandari ,kuhamia dodoma?
Ndo ushangae! Wakati watangulizi wake zote zilizotumika kufanya yote haya walitia kwenye account zao,na kutuambia Kasungura kadogo.
 
Sasa ushasema muokota Makopo! Msio na akili mtamuelewaje Rais makini na Bora Kama Mama Samia?
Leo nilikua nasikiliza hotuba kitaa.. Jamaa mmoja anaokota makopo kasema kwa sauti.. Hakuna Rais hapo.. kijiwe kizima kikampigia makofi[emoji1787][emoji1787]
 
Ni hivi, alikuwa ni JiZi fullstop.
a hivi Tanzania kuna ugonjwa tumeupatawa wa kufikiri na kuamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao ni cha kweli, nimesoma baadhi ya mambo wengine wanasema serikali imeiba Sh. Trilioni 1.5, nikamuuliza CAG mbona kwenye ripoti yako uliyonisomea hapa Ikulu hukunieleza huu wizi? Hii trilioni 1.5 mbona hamna, sasa hawa wa trilioni 1. 5 uliwaficha wapi? CAG Prof. Assad akanijibu hakuna kitu kana hicho, Katibu Mkuu akasema hakuna hakuna trilioni 1.5 iliyoibiwa na serikali.
“Sababu ya uhuru wa mtu kuandika chochote, nikacheka tu, hata ndege tuliambiwa ni mbovu, mtu hamuogopi Mungu, anaandika na kuaminisha watu, ningempata hata kama angekuwa Waziri siku hiyo hiyo angeondoka, natafuta hela halafu ziwe zinaibiwa. Lakini kwa vile ipoti ya CAG huwa inajadiliwa kwenye PAC, Wabunge watajadili wataona.
“Unapotosha umma wa Wa-Tanzania milioni 55, madhara yake ni makubwa sana, lazima tutangulize maslahi ya nchi yetu mbele, inawezekana kuna watu wanakuchukia wewe Jaji Mkuu ama wananichukia mimi, chuki hii tusiipeleke kwa Watanzania, naamini katika sheria hizi, kesi kama hizi zikija mtazishughulikia haraka haraka.

“Tanzania tunaipenda sote, nchi hii ikiharibika hayupo atakayebaki salama, tunaweza tukafikiri tupo pembeni, lakini madhara yake ni makubwa kwelikweli,”
 
Huyu mwanamke anajichanganya sana..kila siku nchi sio kama watoto..piga chini weka watu sahihi..analia lia kama mtoto..halafu kutupia lawama serikali ya awamu ya tano wakati na yeye alikuwepo anaonekana kama hajielewi...kiufupi nchi haina kiongozi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
Mkurugenzi wa TPA kateuliwa April 4 2021. Leo miezi nane baadaye atenguliwe?
 
Kuna haja ya MAMA kuchukua hatua KALI SANA hapa mwanzoni! Laasivyo hii mbegu chafu itaenea!
 
Flyover ndio kipimo cha kutokuwepo wizi? Mbona kwenye flyover yenyewe watu walipiga sana?

Back
Top Bottom