Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni .hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumalizwa
Yeye pengine na wasaidizi wake pale jumba jeupe, kina Katanga wanadhani wapenda pesa wanaogopa kelele. Hata kidogo. Wapenda pesa wakipata nafasi, hawajali uliwaamini au hukuwaamini! Hawajali Rais ana huruma au hana! Dawa ya wapenda pesa za dili ni kuwanyima nafasi ya kupiga pesa za dili tu.
Lakini pia umeibua jambo muhimu. Mwenyekiti wa Bodi sio mtendaji wa day to day wa Taasisi yoyote. Mwa hiyo mamlaka haiwezi kumwajibisha bodo halafu ikamwacha Mtendaji Mkuu wa Taasisi(DG wa TPA hapa na DG wa MSCL) kwa sababu mamlaka ya kinidhamu ya Mwenyekiti wa Bodi ndio hiyo hiyo Mamlaka ya Kinidhamu ya DG.
 
Wamejipanga ,walipukutishwa wanazirudisha kwa kasi na pia hawakumaliz
ata aje nani Tanzania itaendelea kumengenywa tu na matabaka hayataisha, mwenye nacho ndio atakuwa nacho tu na ambaye hana ndio hana ndio siri ya mchi yenu

Kwanini hujiulizi kila rais anayeingia madarakani Jamuhuri ya muungano mawaziri na manaibu ni wale wale tu, sura ni zile zile tu, sjui Makamba, Ndugai, Muhagama, Lukuvi, Jenista, Kairuki, Mwigulu , Siro na wengine tele hii maana yake ni kwamba Tz imeshagonga no wayout watu wanaendelea kujilia vyao tu., rais atakayeona huyu si mpendi atamtumbua on the spot, lakini wapo wapigaji mkuu anakuwa na muhali ndivyo mulivyozoeshwa., huyo baba mwendazake wako tele ambao hakuwa akiwauliza chochote na wakipinga na kupiga mpaka leo
 
Kwahiyo aendelee kuharibu?,je kama rais aliingizwa chaka dhidi ya huo uteuzi?
Kuharibu nini? Una detail zote? Una hakika kuondoa huyu aliyekaa kwa miezi mingine ndiyo usuluhishi? Kawatoa wakubwa wa bodi, hawatoshi?
 
Yeye pengine na wasaidizi wake pale jumba jeupe, kina Katanga wanadhani wapenda pesa wanaogopa kelele. Hata kidogo. Wapenda pesa wakipata nafasi, hawajali uliwaamini au hukuwaamini! Hawajali Rais ana huruma au hana! Dawa ya wapenda pesa za dili ni kuwanyima nafasi ya kupiga pesa za dili tu.
Lakini pia umeibua jambo muhimu. Mwenyekiti wa Bodi sio mtendaji wa day to day wa Taasisi yoyote. Mwa hiyo mamlaka haiwezi kumwajibisha bodo halafu ikamwacha Mtendaji Mkuu wa Taasisi(DG wa TPA hapa na DG wa MSCL) kwa sababu mamlaka ya kinidhamu ya Mwenyekiti wa Bodi ndio hiyo hiyo Mamlaka ya Kinidhamu ya DG.
Hivi nani alianzisha huu utaratibu wa body naona kila sehem huo utaratibi wa bodi haijawahi kuza matunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuharibu nini? Una detail zote? Una hakika kuondoa huyu aliyekaa kwa miezi mingine ndiyo usuluhishi? Kawatoa wakubwa wa bodi, hawatoshi?
Kumwacha Mtendaji Mkuu wa Taasisi(DG wa TPA hapa na DG wa MSCL) kwa sababu mamlaka ya kinidhamu ya Mwenyekiti wa Bodi ndio hiyo hiyo Mamlaka ya Kinidhamu ya DG.
 
Kuna kipi kinfanyika zaidi ya kutoa watu tu?

Watu wametolewa sana lakini madudu hayaishi.
 
.Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.
Ila hakuwa na uwezo wa "kujitengua yeye mwenyewe".

Pamoja na kukubaliana na maudhui ya mada yako, lakini hili la Magufuli kwa sehemu kubwa ilikuwa ni kama maigizo. Huku anatumbua, huku anasaidia na kushiriki yeye mwenyewe kufisadi kiaina yake!
 
Kumwacha Mtendaji Mkuu wa Taasisi(DG wa TPA hapa na DG wa MSCL) kwa sababu mamlaka ya kinidhamu ya Mwenyekiti wa Bodi ndio hiyo hiyo Mamlaka ya Kinidhamu ya DG.
Uwe mwangalifu hapa katika kurusha tope kwa kila mtu aliyepo kwenye nafasi hizi. Rais anavyo vyombo sahihi vya kumfanyia kazi ya ufuatiliaji na kujuwa ni wapi pana ubovu. Kazi yake ni kujuwa usahihi wa hizo taarifa anazopewa. Na anapopata uhakika huo, maamuzi anayotoa ndiyo yatakayompa heshima kama anafanya maamuzi hayo kwa usahihi.
 
Huyu hana hivyo vitu acha kujitoa ufaham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni kwamba ninyi wahuni mtaumia?

Kama definition ya wahuni ndio hiyo ya POLE POLE kuwa Wote waliopewa madaraka na kuyatumia sivyo ni WAHUNI basi Jiwe kwa kukiuka katiba katika maamuzi yake nae anaingia katika kundi la WAHUNI!! Kama Jiwe alikuwa muhuni basi wote wakina Pole pole , Bashiru etc nao ni wahuni kwani ndege waliofanana huruka pamoja!!!
 
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni, hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa, wanazirudisha kwa kasi, pia kumbuka hawakumalizwa
Mungu amjaalie kheri Rais wetu, na Kama Kuna wanaomuhujumu Mungu awashushie Laana kuu!
 
Kiti kimeanza kupata joto sasa, alifanya makosa kuwatumbua watendaji wengi walioaminiwa na Magufuli hasa Kakonko wa TPA pale alipigwa mchana kweupe kumuondoa pale..
Ningekuwa karibu na Rais wangu Mpendwa SSH, ningemshauri Wala hajachelewa na Wala sio fedheha awarejeshe bàadhi ya walioaminiwa na Mjomba, lkn pia asitabairike arudishe Tengua - Teua kwa maslahi ya Taifa Ina tija kubwa.
 
Mkurugenzi wa TPA kateuliwa April 4 2021. Leo miezi nane baadaye atenguliwe?
bodi je
1638675292312.png
 
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni, hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa, wanazirudisha kwa kasi, pia kumbuka hawakumalizwa

Mambo ya hovyo yakiwamo ya ukamataji wa hovyo yaliyoanzia awamu ya tano kama anataka mitano mingine ayapige chini.

Taifa hilijengwi kwa dhuluma.
 
It's not fair to call me an idiot. Those who have stollen trillions you call them patriots. What kind of human beings are you? Do you really have blood running on your fakin'veins? Me I haven't cause any loss to the country but some one who's an expert in misusing and stealing public funds and money unashamedly since 1995 you calling him a patriot. What kind of creatures are you???😡😡🤬🤬🤬
You are really idiot , umewatia hasara waliokusomesha, hio ada waliopoteza kwako bora wangenunua majani ya kunde wale.
 
Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo,kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu.

Nikupe mfano,kwa kinachoendelea bandarini ,kama ukweli uko seriously,mkurugenzi wa bandari na mkrugenzi wa TRA unapaswa kutengua nafasi zao haraka sana,ili tujue uko mguu sawa ,wanasubiri nini ofisini?

Pili Kitendo cha kumrudisha January Makamba pamoja na bodi nzima ya tanesco iliojaa watu wasio na weledi na ambao huko nyuma wamehusika kwa namna flani kulihujumu taifa, tegemea kashifa nyingine kwenye uongozi wako huko mbeleni, hapa umeingizwa chaka.
Mambo bado kabisa,kuendesha serikali hii inahitaji kuwa na roho ngumu sana .Hayati Magufuli hili alilifahamu sana na ndio maana aliteua na kutengua kila uchao.

Nimalize kwa kusema, kwa kuwa wewe ni mwenye huruma na macho yako ni ya huruma kabisa tegemea na wewe kuhurumiwa ndani ya uongozi wako,

Wamejipanga ,walipukutishwa, wanazirudisha kwa kasi, pia kumbuka hawakumalizwa
aache kulialia..afanye kazi
 
Mambo ya hovyo yakiwamo ya ukamataji wa hovyo yaliyoanzia awamu ya tano kama anataka mitano mingine ayapige chini.

Taifa hilijengwi kwa dhuluma.
Kwahiyo wezi wa mali ya umma na wauza ngada waachwe wapete sio?,idiot
 
Kwamba magenge yenu ya uhalifu na kina Sabaya, Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck, nk, waratibu na waasisi wenu muachwe mkipeta sio? Idiot!

Kwamba bambika kesi na bambika hukumu ziachwe ziendelee kama ilivyoasisiwa na kusimikwa kwenye awamu iliyopita, hivyo yaachwe yakipeta sio? Idiot!

Kwamba wasiojulikana na agenda zao hizi:

IMG_20211202_092804_863.jpg

waachwe wakipeta, sio? Idiot!

Kwamba kwenye sufuria:

IMG_20211119_091739_123.jpg

muachwe kwa starehe zenu sio? Idiot!

Hivi kwa kutuona je? Nisiache kukupasha tena: Idiot!
 
Back
Top Bottom