Rais Samia chukua tahadhari kusuasua kwa TANROADS, utalaumiwa binafsi

Wakandarasi WA ndani si ndio hao walichanga fedha bilioni kadhaa kwa ajili ya kununua helikopta ya Samia?
Yule jamaa fiksi, si mkandarasi wala injinia anayefahamika.
Wala hajulikani katika sekta ya ujenzi.
Mtafute leo kama utampata.
 
Jidu La Mabambasi hela za mfuko wa Road Fund zinaelekezwa wapi? Maana bado zinakusanywa
Mkuu hilo ndio swali gumu la kujiuliza.
Pesa ya Road Fund haitakiwi kuguswa au kupelekwa kuliko tofauti na sekta ya ujenzi.
Inavyoelekea fedha hii sasa inatumika tofauti na ilivyotarajiwa kisheria.
Hebu angalia Vision na Mission ya Road Fund;

VISION​

Excellence in Roads Fund Management for a well maintained public road network.

MISSION​

To provide sustainable funding for road maintenance to implementing agencies(my emphasis-TANROADS, TARURA) through collection, disbursement and monitoring its utilization for socio-economic wellbeing of the public.
 
Wapumbavu tu nyie, si mliahidi kumuhonga Bi Chura kwa kumnunulia Chopper? Acha muonje joto la jiwe, bado tunawalipa Indiana ya Australia
 
Hatutafika kwa majungu.
Zitaje hizo barabara na mkandarasi husika.
Na kama hiyo ni imani yako basi tatizo unalo wewe katika kuamini kuwa kila nkandarasi ni rushwa tupu.
Majungu vipi mkuu, barabara ipi ya lami iliyojengwa na mkandarasi mzawa na ikadumu kama zilivyodumu za hao wakandarasi wa nje?, iyovi hadi mafinga kipande kinaenda mwaka wa 15 na bado kipo imara, nenda barabara ya lindi mtwara uone vioja
 
Wapumbavu tu nyie, si mliahidi kumuhonga Bi Chura kwa kumnunulia Chopper? Acha muonje joto la jiwe, bado tunawalipa Indiana ya Australia
Mpumbavu mama yako na yule aliyeambatana naye kutoa zawadi ya choppee.
 
Usikute ye mwenyewe kajichotea, kujianda na shughuli ya ndoa ya mwakani, ananunua zawadi za washenga kuwahonga wakamtongozee, baiskeli laki 3, pikipiki za kutosha, kila kata 3 tatu.
 
Usikute ye mwenyewe kajichotea, kujianda na shughuli ya ndoa ya mwakani, ananunua zawadi za washenga kuwahonga wakamtongozee, baiskeli laki 3, pikipiki za kutosha, kila kata 3 tatu.
Duniani kuna mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…