Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

Kama mitandao YAKIJAMII ingikuwa haichukuliwii seriously au haina maana kwa Serikali Wasingi tumia nguvu nyingi kuifungia kwenye chaguzi au any situation kwahiyo MAMA anayo haki kuitolea MACHO sababu ndio njia rahasi ya kujua mambo mengi.

Mfano
Trump anahangaika na mitandao YAKIJAMII huku akesema wanamuonea kumfungia account zake au kuwa BAN na mitandao YAKIJAMII kwahiyo mitandao YAKIJAMII ni muhimu sn katika kila jambo.
 
Yuko 'bize' kututoa kwenye tope tulilozamishwa na mwendazake, slowly but surely tunaanza kutoka mdogo mdogo.
 
Bimkubwa yupo humu kwa kupitia ID ya faiza fox... trust me.
Faiza Foxy kaishi nje na anatetea sana dini yake, ingawa ni CCM damudamu. Historia yake kama vile ameishi mitaa ya kishua kama Masaki ile kwenye familia ya kitajiri. Yeye ndio kina Kiranga kwenye lifestyle ya ukuaji. SSH hajaishi bara kwa utoto au ujana wake kulingana na CV.
 
Kazaliwa na kukulia mitaa ya Kariakoo.
 
Hivi sauti za wananchi unazipata wapi? Wasio na jukwaa ambao ni wengi husemea mitandaoni.

Mama chapa kazi achana na Sukuma Gang,
 
Mara nyingine katika historia ya inji yetu tumepata hasara. Eeeh , Allah tuokoe! Wachache mtanielewa.
Sidhani, mbona enzi ya BM na JK majambazi walitamba sana. Huyu huenda akawa ni new generation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…