Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Bundle utamlipia wewe ?Mheshimiwa ashauriwe ajiunge na huku jamiiforums naahidi hatojutia muda wake online
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bundle utamlipia wewe ?Mheshimiwa ashauriwe ajiunge na huku jamiiforums naahidi hatojutia muda wake online
Unajichekesha bure tu!
Maruerue yako yanakufanya udhani kila mtu umdhaniaye ni anti-Samia!
Typical nyumbu. Hamnaga akili!
Na yeye alikuwa na magonjwa ya akili kama job ndugai ?Mwendazake alikuwa anatumia ID ya Magonjwa Mtambuka
And..?Jiwe aongezewe miaka ya kutawala mpk 2040.
And..?
Miss kigogo na misukule wake , wamebaki kuokoteza okoteza taarifa tuIla Mama yupo vizuri taarifa zake azivuji mpaka jamaa wa Twitter amekosa la kutudanganya siku izi
DumbassJobo
Duh.Naona unabrowse kutokea mbinguni
Dumbass
Unaweza kuta Madam President SSH humu JF anatumia ID ya FaizaFoxyHuyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
Yuko 'bize' kututoa kwenye tope tulilozamishwa na mwendazake, slowly but surely tunaanza kutoka mdogo mdogo.Swala la usalama wa raia na mali zao ni swala la National security ambalo kiongozi yeyote makini angekuwa ana taarifa sahihi na ameshalifanyia kazi sasa kama taarifa tu anazipata mtandaoni... haya anazungumzia askari ambae hata yeye hamjui ? duh tuendelee kula Mtori nyama zipo chini ila waimba mapambio hamuwezi kuona udhaifu mkubwa uliopo kwa sasa kwa vile nyimbo zinazopigwa na DJ mnazielewa .. badala ya kumwambia Dereva aangalie mbele aache kuwaangalia nyinyi mnamsifia kwa kuweza kuendesha gari huku hatazami barabara soon mtajikuta mpo mtaroni huku watu wamevunjika na wengine kuumia vibaya .
Mzanzibar huyuuu!!!Huyu mama mitandao naona inamdemsha sana!
Mara kadhaa sasa anaitaja.
Si ajabu yupo humu…
Faiza Foxy kaishi nje na anatetea sana dini yake, ingawa ni CCM damudamu. Historia yake kama vile ameishi mitaa ya kishua kama Masaki ile kwenye familia ya kitajiri. Yeye ndio kina Kiranga kwenye lifestyle ya ukuaji. SSH hajaishi bara kwa utoto au ujana wake kulingana na CV.Bimkubwa yupo humu kwa kupitia ID ya faiza fox... trust me.
Una mwiita marehemuAlikuwa kweli na Magonjwa Mtambuka .
Kazaliwa na kukulia mitaa ya Kariakoo.Faiza Foxy kaishi nje na anatetea sana dini yake, ingawa ni CCM damudamu. Historia yake kama vile ameishi mitaa ya kishua kama Masaki ile kwenye familia ya kitajiri. Yeye ndio kina Kiranga kwenye lifestyle ya ukuaji. SSH hajaishi bara kwa utoto au ujana wake kulingana na CV.
Huenda na yeye ni timu KigogoIla Mama yupo vizuri taarifa zake azivuji mpaka jamaa wa Twitter amekosa la kutudanganya siku izi
Sidhani, mbona enzi ya BM na JK majambazi walitamba sana. Huyu huenda akawa ni new generation.Mara nyingine katika historia ya inji yetu tumepata hasara. Eeeh , Allah tuokoe! Wachache mtanielewa.