Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

Jeshi letu la Polisi chini ya IGP Siro limefanya kazi nzuri sana ktk kipindi cha miaka 5 iliyo pita, kila mahala palikuwa shwari. majambazi vibaka wote walisalimu amri mbele ya Jeshi letu.

sasa hii choko choko tena maana yake ni nini?
1. Jeshi letu nalo limekufa? au limepumzika?!! au limebadilika?!! au kuna baadhi wameamua kuhujumu jitihada zao?!!

Tunaomba Jeshi letu la polisi lirudishe heshima yake palepale,, kamwe wasiwaachie majambazi na vibaka wachache watie dosari kazi yao iliyo tukuka.

Dawa ya Mambazi na vibaka inajulikana.
 
Sukuma Gang , mnapata taabu sana, na hamtaki kuamini kuwa Mfalme wenu hatorudi tena!
Wala hakuna anayepata tabu!

Labda aipataye tabu ni wewe na wenzako mlio na maruerue yanayofanana.

Usilazimishe mambo ambayo hayapo.
 
Ni lazimishe mambo kwa lipi, poleni sana, sina masalahi yoyote na Mama kama mlivyokuwa wasukuma . Poleni sana na mjue zama zimebadirika
Wala hakuna anayepata tabu!

Labda aipataye tabu ni wewe na wenzako mlio na maruerue yanayofanana.

Usilazimishe mambo ambayo hayapo.
 
Ni lazimishe mambo kwa lipi, poleni sana, sina masalahi yoyote na Mama kama mlivyokuwa wasukuma . Poleni sana na mjue zama zimebadirika
Sasa mimi nilikuwa na maslahi yepi kwa Magufuli?

Typical akili ya nyumbu. Too simpleminded.

Acha kulazimisha mambo.
 

Nani kakwambia mama anaongea asiyoyajua? Wewe mwenyewe umesema ni swala la national security. She's well informed than you think! Mpe heshima yake. Mama ni Kiongozi. Siyo kama yule mbeba maono wa Ndugai na Polepole......
 
Duh! Mkuu huu ujumbe mkali huu! Ila sijui kama uliowadhamiria watauelewa!
 
kweli ? mitandao baadhi ( majungu mkakati bin uzushi ) ...ni siasa tuu lkn Rais anapata hbr za UHAKIKA
 
Ndugu yangu, kiingereza siyo mchezo. Angalia ulichoandika sasa, aibu tupu, si ungeandika tu kiswahili!!??
Uungwana ni kumrekebisha anaekosea. Ila kukosoa au kulalamika bila kuweka suluhisho la unachokosoa haileti maana.
 
Taasisi ya Rais hata mitandao ni chanzo chake cha Taarifa
 
Kwani nini mitandao maidharau sana ili hali mko bize kutoa maoni yenu humu? Mmesau jinsi ufisadi ulivyoibuliwa kupitia JF na kuidemsha serikali ya JK? Mitandao ndipo pahala sahihi kwa sasa kupata taarifa na Rais yuko sahihi na ni faraja kwetu kwamba anatusoma na kuyachukulia siriazi maoni yetu.
 
Mapointless wanatamani hii mitandao izimwe! Huyu Vero mwenyewe ni anti-JF lakini anaitumia kujaza uharo wake humu!
 
Mitandao ndo vyombo vya habari vya ulimwengu wa sasa.na dunia ya sasa ili uweze kupata taarifa za kila mahali kwa haraka ni lazima ujikite kwenye mitandao.Hata vyombo vya ulinzi na usalama ili kupata taarifa mbalimbali zakiuhalifu huwa wanafanya ulinzi shirikishi,sasa kuna ubaya gani wananchi wakiamua kufanya ulinzi shirikishi kupitia mitandao ili mamlaka husika zifanyie kazi.Kama ambavyo wewe umetuletea mada yako kupitia mtandao ndivyo ambavyo mtu yoyote pia anaweza kupata taarifa kupitia mitandao.Huu sio wakati wakubeza mitandao kwasababu ndo sehemu rahisi yakutoa na kupata taarifa kwa haraka zaidi.
 
Kuna taarifa zingine za mambo ya usalama wa Raia na Nchi ukinambia anagemea Mitandao ndo ajue bhasi tufukuze Tiss wote wabaki wanamtandao .. taarifa nyingi za mitandaoni si za kweli kwa maana wanaoandika hawana taarifa sahihi au chanzo makini zaidi ya fikra au maoni binafsi, na nying ni majungu tu sasa ukisema aegemee mitandao kupata taarifa mtakua mnachekesha sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…