Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
FakeMchongo ni nini?
Jema na la busara sana. Litaokoa raslimali za uma zinazotumika kuendesha kesi hii, pia taswira ya serikali na watumishi wa uma wanahusika.Hivi akisamehe kwa njia ya kufuta napo inakuwa hajafanya jambo jema?
Kwanini asimzae?Hivi Samia ana uwezo wa kumzaa Zitto kweli au madaraka yamemlevya? Naona analitumia sana neno mwanangu kujipa ukubwa!!
Chama kama chama kina watu wake wenye hicho chama Mama ni wa kupita tu.sasa jamaa wakaona Mbowe anataka kuwaharibia ulaji ndio wakamtungia hiyo kesi.Ni ulaji tu hamna kesi hapo.kwa hiyo unataka kusema maza na chama ni mbali mbali - wanamzunguka tu kama duara.
Karibu tule nyama tamu!Haya unayazungumza kwasababu uko huru unakula ugali na nyama huku ukishushia na Kiwingu ya baridi 🤣🤣🤣
Wachache watakuelewakuwaheshimu watu wasoheshimu utu wa wengine ni matumizi mabaya ya heshima.
Ndugu watukana mamba? Bado miezi mitatu tu kufika 17.March.Wamezoea kunyeyekewa hawa watu .... wanajiona ni Miungu Watu .... Precedence aliyotuachia Magufuli itatutesa sana kwa muda mrefu. Maza anaitumia kisawasawa kuhakikisha kuwa hawamuondoi kenye kiti mpaka 2030 ..... !!
Mwanamke halisi hana huruma, ni kiumbe mkatili. Ishi nae kwa akili. Akiamua jambo harudi nyuma. Heshima aliyovunjiwa na Mbowe ni siri yao, na imekula kwa Mbowe.Hapo ni kusubiri huruma ya Mama Samia tu.
Mbowe anatesa watu zaidi ya milioni 8 tena wana dola na kila kituWenye maamuzi kumsamehe Mbowe ni wenye chama ambao wanaona Mbowe alitaka kuwapokonya ulaji. Samia ataondoka baada ya muda wake kuisha kwahiyo wenye chama wanaangalia mbele zaidi wakiona kumuachia Mbowe italipa watamwachia.Kama hailipi atafungwa.
Akili za mbuzi hiziMbowe ana dharau Sana ..
Haiwezekan amudharau mama yetu kudadeki pigaa ndani miaka 30
Lakini wahenga walisema amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga!Amani inapatikana kwa NCHA ZA ULIMI- mh.Rais SSH[emoji123]
Hamna, Maushungi angeisharopoka. Si wawajua wa Zenji?Katiba mpya haikuanza Leo kumbuka.
Kipindi Cha MAGUFULI ndo kulikuwa kipindi kigumu Cha kudai katiba mpya.
Kuna lingine mbowe atakuwa amefanya kwa Samia atuambie.
Kama aliteleza akiri asamehewe
Yatapita kama ya Mwendakwao ylivyopita Maza mwenyewe pressure juuMwanamke halisi hana huruma, ni kiumbe mkatili. Ishi nae kwa akili. Akiamua jambo harudi nyuma. Heshima aliyovunjiwa na Mbowe ni siri yao, na imekula kwa Mbowe.
Inazidi kuwa dhahiri. AmenKumbe ugaidi ni wa kubambikiziwa tu?
Iodiotic comment, if I reply an idiot, and what if i stay silent?Mbowe ni mmeo hadi ujue kila anachokipanga?