Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Thubutu yako. Never underestimate a woman in power. Kwanza amemuonyesha kuwa she can na ndiyo maana mnalia lia kila mahali aachiwe. Kama Mbowe ni mwamba akae kimya asbiri Mahakama. Na hizi Mahakama zilizomhukumu Sabaya na zikaonekana huru, msianze kusema ooh haziko huru sababu ya huyo DJ wenu. And alitoka I swear ataufyata, wacha michezo na Serikali
Kwendraa huko. Kujipendekeza pendekeza tu. Tukija kuchukua nchi nitakusaka wewee
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.

Umeelewa kwa utashi wako au kwa mahaba yako. Mana Hapo mwisho hiyo conclusion umetoa wapi.
 
Mama ndio wa kumwambia Mbowe afate sheria?

Hivi huyu mama anajua sheria yeyote ya hii nchi kwenye ubongo wake mpaka amuelekeze yeyote yule cha kufanya?

Na Mbowe afate sheria ipi hebu zitajeni?Za ugaidi wakati hajafanya ugaidi ni story za kutunga?Hivi utungaji nao ni sheria?

Unajua mna vichaa
Umejibu bila kysoma sawasawa.
 
Tundu Lisu anamzunguka Mbowe, Tundu Lisu yuko na Samia kwa 100%, mtakuja kuna mwisho wa hii game, Tundu Lisu na Samia wote wamoja.
 
Hivi wajua magufuli alikuwa na infiriority complex za kisukuma?ndizo alizo anzo Samia aise anamuhukumu Mbowe kisa heshima.
Magufuli. Anaingiaje hapa?? Pambaneni na unafiki wenu na mama yenu .
 
Hivi Samia ana uwezo wa kumzaa Zitto kweli au madaraka yamemlevya? Naona analitumia sana neno mwanangu kujipa ukubwa!!
Kwani si mkubwa kicheo ?!!!

Hivi hujawahi kumsikia mzee Warioba akimuita mh.SSH mama?!!!

Usipomheshimu kihivyo kwa urais wake basi hutomheshimu hata kwa UCHIFU WAKE MKUU?!!!!
 
Je huyu mama ka mfunga mbowe kwa maslai ya taifa au kwa maslai yake yeye mwenyewe kwa kujiona zaifu na kutotaka pressure
Kwa maslahi ya kumwumiza kuliumiza Taifa, na kutaka kuonesha kuwa japo anatoka kakisiwa ka jirani, tena mwanamke, bado ana uwezo wa kuwakomesha Watanganyika na wanaume.
 
Hivi Samia ana uwezo wa kumzaa Zitto kweli au madaraka yamemlevya? Naona analitumia sana neno mwanangu kujipa ukubwa!!
Cheo cha Urais ndiyo umama wenyewe huo ndugu. ni cheo kikubwa sana kwa katiba yetu ya sasa. kwa hili tuliache ila tujadili content za kile alichokisema kuhusu mh. mbowe.
 
Tatizo wewe hata Kiswahili hujui.

Aliposema kufuata sheria, maana yake ufuate sheria unapofanya mambo yako.

Kwa uelewa wako mdogo, unamaanisha Rais alikusudia kumwambia Mbowe afuate sheria anapotaka kufanya ugaidi?

Ni dhahiri, anamaanisha kuwa Mbowe kuna kitu akifanya, na kwa mawazo yake, hakufuata shwria wala hakumtii. Ndiyo maana tunataka kujua jambo gani alilolifanya Mbowe bila kufuata sheria, na kipi ambacho yeye Samia anaona Mbowe hakumtii.
Nashukuru sijui kiswahili ndo maana naandika kwa kiingereza hapa. Hata hivo acha kupindisha maneno, mtu akiiba tunasema hakufuata sheria... mtu akitenda kosa lolote lile ina maana hakufuata sheria... usimlishe Rais maneno ambayo hakusema... suala la kufuata sheria na heshima ni mambo mawili tofauti kabisa aliyoyagusa katika hotuba yake akionyesha msisitizo wa kuheshimu sheria za nchi na watanzania wenzetu... ukienda kinyume chake ndo tatizo.

Hata hivyo sisapoti kwa namna yoyote ile suala la Mh. HM lilivyo ila sheria ni muhimu kufuata mkondo wake. Maana sisi waswahili ni rahisi kuwatetea wanasiasa na kushinikiza waachiwe wakati sisi wenyewe walalahoi hatuteteani tunapopatwa na majanga, na ukifa utazikwa haraka haraka wakusahau... unafki
 
Nilimpenda sana Mwalimu Nyerere ili kuiweka kwenye mizania sawa na kakisiwa kankozidiwa kwa ukubwa na wilaya ya Sengerema, lilikuwa kosa kubwa sana.

Huu ujinga anaomfanyia Samia Mbowe, akawafanyia Wazanzibari wenzake. Hatuwezi kukaa kimya, tukiona mama aliyefadhiliwa, anatunzwa kwa pesa yetu, halafu anawatesa watu wetu. Aende akayafanye haya anayoyafanya huko Mchambawima, siyo huku Tanganyiko. Aheri uonewe na ndugu yako wa nyumba moja kuliko mgeni unayemfadhili.
 
Kumbe tatizo ni Mh. Mbowe kutokuwa na heshima, sasa najiuliza ni heshima ipi anayohitaji maza toka kwa nguli huyu wa siasa za TZ ?
Kwa hiyo tukisema kesi yake hii ni ya mchongo yaani pure politics tutakuwa tumekosea ?
 
Hivi Samia ana uwezo wa kumzaa Zitto kweli au madaraka yamemlevya? Naona analitumia sana neno mwanangu kujipa ukubwa!!
Hawa watu si wamefoji umri mkuu unaweza kuta yeye kiukweli hakosi miaka 73 na Zitto 48 au 50 hivyo ni sawa kumuita mwanangu
 
Hii sio Rule of Law hata kidogo. Tabia hii ya watawala wetu kujifanya DPP ni ubatili mtupu na upumbavu mkubwa. Wasipoangalia kuna siku watakuja kuiingiza hii nchi kwenye machafuko yasiyokuwa ya lazima!
Huyu mama asifanye mchezo, kuna siku anaweza kuning'nizwa kizimbani, tena wakati akiwa kikongwe.
 
Mbowe afuate sheria asitegemee huruma ya mama.
apambane na hali yake kwa mujibu wa sheria.
nchi yetu inaongozwa kwa mujjbu wa sheria na Mama anaheshinu na kuenzi utawala wa sheria.
 
Back
Top Bottom