Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwaheshimu watu wasoheshimu utu wa wengine ni matumizi mabaya ya heshima.CDM hizi siasa za jino kwa jino hazina afya, hebu kuweni na HEKIMA walau kidogo.
Kufuata sheria ni kutovunja sheria. Hivyo kama ameshitakiwa kwa ugaidi, maana yake kavunja sheria ya ugaidi. Na ndiyo maana kesi hiko mahakamani ili mahakama itoe uamuzi. Kuvunja sheria ni kosa.Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Maneno aliyosema mh rais si sawa, ingekuwa Mbowe kesha hukumiwa angekuwa sahihi. Rais kesha mhukumu Mbowe, na hii si mara ya kwanza, hata alipo hojiwa na BBC alionesha shauku hiyo. Ashukuru tuna mahakama zinazoongozwa na dola, angeaibika.Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa! https://t.co/AA2MpaPQ5D
View attachment 2044999
Thubutu yako. Never underestimate a woman in power. Kwanza amemuonyesha kuwa she can na ndiyo maana mnalia lia kila mahali aachiwe. Kama Mbowe ni mwamba akae kimya asbiri Mahakama. Na hizi Mahakama zilizomhukumu Sabaya na zikaonekana huru, msianze kusema ooh haziko huru sababu ya huyo DJ wenu. And alitoka I swear ataufyata, wacha michezo na SerikaliMkuu
Siwezi weka hapa....wewe una una mtazamo wako,na mimi nina wangu
Zitto kaandaliwa aongee yale na ampigie mama magoti ili mama amwachie Mbowe ionekane ni "wapinzani wamepiga magoti ndio maana kamuachia"
Na the best actor to use ni traitorous Zitto Kabwe.....the most shifty politician in Tanzania
Nobody else angeweza ku-act vile zaidi ya Zitto
Funny thing is,Chadema haijamtuma yeyote kuomba chochote kwa mama....
Zitto kajipigisha magoti yeye kama yeye and their shit showing shenanigans,akimuachia Mbowe kamuachia and CDM knows what to do!
Mama ni light weight brain wise..na this thing will cost her dearly,tayari it is taking a toll on her!
Plus kuna vita ccm humo,with it group lake linaweza shindwa likauwawa na yeye akaenda na maji
She is bigger trouble....she has to pass through polepole and his group kabla hajamfata Mbowe!
Watch this space....Im sad she will fail everywhere!
Mbona umerejea kwa sabaya,au alikuvamia ukaona raha?Mh. Zitto nadhani leo ndiyo kaelewa urais ni taasisi na siyo mtu. Ajifunze na yeye kuwa na adabu. Maana alidhani atasema kiurahisi tu Mbowe atolewe. Mbowe yeye asubiri kama ilivyokuwa kwa Sabaya. Maana mlifurahi sana kwa Sabaya. Inabidi tufike pahala hii nchi iendeshwe kwa misingi ya uzalendo
mtihani huu, ccm wamejisahau wanajifananisha na yesu eti nchi hii ni mali yao pumbafu sanaRais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa! https://t.co/AA2MpaPQ5D
View attachment 2044999
HUKO WAPI Stuxnet the witch? Njoo usome hii comment wewe mchawi NAKUCHUKIAGA SANA.Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.
Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.
Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali