Kwendraa huko. Kujipendekeza pendekeza tu. Tukija kuchukua nchi nitakusaka weweeThubutu yako. Never underestimate a woman in power. Kwanza amemuonyesha kuwa she can na ndiyo maana mnalia lia kila mahali aachiwe. Kama Mbowe ni mwamba akae kimya asbiri Mahakama. Na hizi Mahakama zilizomhukumu Sabaya na zikaonekana huru, msianze kusema ooh haziko huru sababu ya huyo DJ wenu. And alitoka I swear ataufyata, wacha michezo na Serikali