Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Rais Samia: Demokrasia ni kuheshimu Sheria, heshima ya Mtu inakuja kwa kuheshimu Sheria za Nchi, ombi la Zitto kuhusu kesi ya Mbowe lajibiwa

Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.

Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Ambapo kwa mtu ana jinasibu kumtii Mungu hii ni dhambi... Tena dhambi mbaya. Bora leo kasema wazi. Kumbe sio ugaidi ni matakwa ya kuheshimiwa.
 
kwa hiyo ugaidi wa Mbowe ni kukosa heshima kwa kudai katiba.
usikute Mbowe alipigiwa simu na mama kuombwa aache harakati za katiba,akamwambia mama acha ufala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio usikute, ukwel ni kwamba alimpigia simu akamwambia tuliza kwanza hayo mambo ya katiba lakin Mbowe akawa anona hiyo ni gorden chance, rejea ushuhuda wa Tundu Lissu baada ya Mbowe kukamatwa!!
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Kwan sheria haiongelei suala la ugaidi??? Otherwise ungekuwa na point
 
Kuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Fafate sheria aachane na mambo ya kigaidi, hapao atakuwa amefata sheria
 
Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....


Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......

#Siempre JMT
Alikuwa hahutubii watoto pale...
 
huku ndiko kufuata sheria Mh. Rais ?? Tume yako ilifuata sheria ?? ushahidi huu haupo mahakamani bali upo kwa wananchi wenyewe.


 
Kumbe kutokuwa na Heshima kunazaa kesi ya Ugaidi hahahaha
Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?

Pamoja na ubabe wa Magufuli, hakudhubutu kumfunga Mbowe gerezani, Mama huyu ameonesha udhaifu mkubwa, hatufai. Hatahivyo, ni vema aende kwao Zanzibar, atuachie viongozi wetu wa Tanganyika!
 
Wale waliosusa mkutano ndio wale wanaopenda siasa za KUKARIRI ZENYE NONGWA ,SHARI ,KUTOHESHIMIANA NA KUVUMILIANA.....

Kongole kwake mh.Zitto Kabwe na wenzake💪

#Utulivu Na Amani Ndio Nguvu Yetu
#Siempre JMT
 
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.

Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.

Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.
Ikiwa Mbowe hana heshima basi ni wazi Tundu Lissu hastahili hata kuishi!!!
Mama asaidiwe clip za kina Kheri james et al halafu amuogope Mungu kwa dhati yakumuogopa Mungu!!
 
Back
Top Bottom