Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....Kumbe kutokuwa na Heshima kunazaa kesi ya Ugaidi hahahaha
Ambapo kwa mtu ana jinasibu kumtii Mungu hii ni dhambi... Tena dhambi mbaya. Bora leo kasema wazi. Kumbe sio ugaidi ni matakwa ya kuheshimiwa.Mama aliona Mbowe kama anataka kumpanda kichwani kwa kampeni yake ya katiba mpya.
Hapa inadhihirisha tuhuma za Mbowe ni za kubumba.... Na pia kumwonyesha tu kuwa huwezi kushindana na serikali
Sio usikute, ukwel ni kwamba alimpigia simu akamwambia tuliza kwanza hayo mambo ya katiba lakin Mbowe akawa anona hiyo ni gorden chance, rejea ushuhuda wa Tundu Lissu baada ya Mbowe kukamatwa!!kwa hiyo ugaidi wa Mbowe ni kukosa heshima kwa kudai katiba.
usikute Mbowe alipigiwa simu na mama kuombwa aache harakati za katiba,akamwambia mama acha ufala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan sheria haiongelei suala la ugaidi??? Otherwise ungekuwa na pointKuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Mdomo mali yako......Kwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anas ahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Kwa hiyo Mama Samia anajua anachokifanya kwa Mbowe..Sio usikute, ukwel ni kwamba alimpigia simu akamwambia tuliza kwanza hayo mambo ya katiba lakin Mbowe akawa anona hiyo ni gorden chance, rejea ushuhuda wa Tundu Lissu baada ya Mbowe kukamatwa!!
Unampendelea kiongozi anayekataa kujifunza? ungehama mapema Zimbabwe, ungemfurahia!Kwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Fafate sheria aachane na mambo ya kigaidi, hapao atakuwa amefata sheriaKuna maswali muhimu ya kujiuliza
Afuate sheria gani? Kavunja sheria gani?
Amheshimu nani? Ni nani kamkosea heshima?
Kwahiyo kesi yake sio ugaidi tena? Bali ni maswala ya sheria na heshima?
Alikuwa hahutubii watoto pale...Mmeanza kupotosha ALICHOKISEMA mh.Rais.....
Ameizungumzia HESHIMA ndani ya siasa zetu mathalani KUSEMA UONGO ,KUPOTOSHA ,KUTAKA SIASA ZISIZO NA UHALISIA NASI kote huko ni KUIBAGAZA HESHIMA......
#Siempre JMT
Anamuonesha kuwa yeye si wa mchezomchezo, na kwamba Mbowe sio saizi yake kwa kuwa Mama SSH ndyo sheria yenyewe!Kwa hiyo Mama Samia anajua anachokifanya kwa Mbowe..
Hayo wasema weweUnampendelea kiongozi anayekataa kujifunza? ungehama mapema Zimbabwe, ungemfurahia!
Wewe usiye sahau MKUMBUSHE!Kwa Tanganyika hii tunabahati mbaya sana kuwa na rais ambae anasahau Jana alisema nini na leo atasema nini ?
Africa bado haijawa na sifa ya kuwa na Rais Mwanamke! Wanawake siku zote wana mtizamo hasi kwa kila jambo wanalokosolewa, wakikosolewa hufikiria kwamba, wametendewa hivi kwa vile ni Wanawake. Na wataiacha hoja ya msingi, na kuanza kupayuka huku wakitafuta kutoa adhabu. Tangu lini huyu Rais, akaweza kukabiriana na changamoto za siasa na uongozi bila kuzua balaa!?Kumbe kutokuwa na Heshima kunazaa kesi ya Ugaidi hahahaha
Ikiwa Mbowe hana heshima basi ni wazi Tundu Lissu hastahili hata kuishi!!!Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa.
Mh. Samia mesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima.
Tofauti na tuhuma alizosema huko nyuma wakati akihojiwa na BBC kuwa Mbowe ana tuhuma za ugaidi.